@iem_pius: Elewa neno MFUMO WA BIASHARA. Sio kwa sababu umeona mtu ameanza biashara fulani na anaonekana anafanya vizuri, basi na wewe uingie kwenye hiyo biashara. Kabla hujaingia kwenye biashara, elewa mfumo unaotumika kuiendesha. 👉 Wateja wanapatikanaje? 👉 Mauzo yanafanyikaje? 👉 Faida inatengenezwa vipi? 👉 Biashara inakua vipi? 👉 Na ikitokea wewe haupo, biashara bado inaweza kuendelea? Biashara isiyokuwa na mfumo ni suala la muda tu itayumba au kufa. Ndio maana unaona mtu leo anauza nguo, kesho anaingia kwenye chakula, kesho kutwa anaenda kwenye vipodozi. Kumbe Tatizo mara nyingi sio biashara tatizo ni kutokuwa na MFUMO. Usikimbilie biashara unayoiona kwa mtu mwingine. Kwanza elewa mfumo, kisha jenga biashara. Kama unatamani kuanza biashara kwa mtaji mdogo wa kuanzia sh. 1,000,000/- mpaka 2M Nitumie Ujumbe wenye neno BIASHARA kwenda whatsap number +255756133313 Share ujumbe huu kwa kijana mwenzako ili na yeye ajifunze #tiktok #viral #trending #trendingvideo #trendingreels
Pius Kichere🇹🇿
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 07:35:49 GMT
Music
Download
Comments
jessy❤️🔐🦋 :
perfect master 🔥
2026-09-16 14:45:41
1
Magreth Mlata :
Very true my leader 🔥
2026-09-09 08:04:17
0
To see more videos from user @iem_pius, please go to the Tikwm
homepage.