@mrshadracktz: #creatorsearchinsights #creatorsserchinsights Mtoto wa mfanyabiashara maarufu Makosa mkoani Iringa afunguka kuhusu maisha yake na dawa za kulevya, akieleza jinsi matumizi yalivyomtesa na kumfanya afikie hatua ya kuzichukia kabisa. Simulizi yake ni ujumbe mzito kwa vijana kuhusu madhara ya dawa za kulevya na umuhimu wa kutafuta msaada kabla haijawa too late. #babahapumziki #DawaZaKulevya #Tanzania
Mr Shadrack
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 08:12:18 GMT
Music
Download
Comments
VINNY JR 🦅 :
kaka hebu anzisha podcast
2026-09-09 10:09:38
65
kenzoh 21 :
mwamb yupo smart somehow
2026-10-11 11:00:31
0
charz mtuPori :
makosa wa Iringa au kuna makosa mwingine
2026-09-09 09:16:00
33
Ms Hossana :
jamaa ana uzoefu na jela
2026-10-11 18:47:46
7
|OKA |Great Conqueror |Ngariba :
Sauti Ya Makosa Kabisa Hii 💯💯💯
2026-09-09 08:54:09
44
Asia 💞amid :
waweza niulia mama angu
2026-09-09 16:34:15
8
MSOUTH_🇿🇦 :
Daaah bro me Mzee nikipewa sasa iv ayupo 😂😂
2026-09-09 09:30:09
24
Ahimidiwe mlavila@tz :
njombe lupembe si home hukoo jaman haya malizia Kijiji gan
2026-09-09 19:46:16
7
Godson Mfugaji songea :
jamaa anasimuliz nzuri lakin host unampeleka haraka san
2026-09-09 09:43:26
28
aka tryp :
Khamis so mwema kbx 😁😁
2026-09-09 10:23:51
7
Chinga vanda man :
ila hamis
2026-09-09 09:08:16
10
ke 🇹🇿voo🔰✅️🔹️🔹️[DOGO) :
Kaka mkubwa Njiti✌✌🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-09 10:03:24
5
kaka :
bro njiti hana baya
2026-09-09 09:46:00
6
checheclassic0 :
muache amalize usimkatishe
2026-09-09 14:32:00
3
Gax_vibes :
Dah wajina jau
2026-09-20 23:48:54
1
Mamawadudu :
watu mnachukulia powa nguvu ya urafiki.
2026-09-09 10:43:22
7
@mwajekasiya :
Njiti tumemmisi ipogolo wapi LLP TUMEKAA NAE MTAA MMOJA MIAKA IYO
2026-09-11 23:59:45
1
Chris :
duuuuh hatariiii
2026-09-09 21:11:00
1
sally :
anasauti nzuri sio ya hayo mambo
2026-09-09 15:26:46
6
LIFE IS ART :
MARAFIKI WA HOVYO WABAYA SANA.
2026-09-09 10:24:04
6
dantte_bankx :
Mzee kumua baba broo
2026-09-09 12:49:35
5
🌝 moon :
uy rafik alietak kumjua mwenzie kwa simu kisa Hela nyie tuwen makin tusimuamin Mtu at awe bff
2026-09-22 06:56:18
1
kibibi :
Njiti mefurahi sana kumuona
2026-09-09 10:19:46
1
7mGuMu :
story ni nzuri..ndefuu...ila...umeshindwa jinsi ya kuzipata kwake
2026-09-09 10:26:30
2
kelvinsambala299 :
makosa yukowap kwa sasa
2026-09-09 13:49:53
1
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.