@chipupute8: 🔥 CHAPATI ZA BIASHARA 💯 RECIPE 2 YA 🔥CHAIHARAGEP☕🫘 Kabla hujaanza kupika chapati 100 kwa siku, anza kwa kujua soko lako kwanza. 😌📊 tunaanzia na batch ndogo ya ½ kg ya unga tu kwa kujifunza, kufanya majaribio na kuona wateja wako wanahitaji kiasi gani. 🫓 INGREDIENTS 🌾 Unga wa ngano — All-purpose flour: ½ kg 🍚 Sukari — Sugar: 2 tsp 🧂 Chumvi — Salt: kiasi 🫗 Mafuta — Oil: kiasi 📊 UKIONGEZA 🫓 ½ kg → chapati 9 🫓 1 kg → chapati 18 🫓 2 kg → chapati 32 💡 Usikimbilie nyingi. Anza na nusu kilo, jifunze mapishi, boresha quality, uza, halafu cheza na soko la eneo lako. Ukiona soko linahitaji zaidi, hapo ndio unaongeza sasa Na hii ni sehemu nyingine ya safari yetu ndani ya #ChaiMaharageEP❤️ ***Mtu atakayejifunza, akaweza kuifanya biashara na akaonyesha anaweza kupata faida, atapata support ya ujuzi zaidi, zana za kidigitali za kutunza taarifa za biashara yake, pamoja na nafasi ya kupata mtaji na vyombo kupitia support kutoka familia ya #chipupute 🤝🏾 @shambaSpark “Onesha Nia Tukubusti” ✨ @naswiat_brembo_og #FromGamba2Glow Sasa kama una ½ kg ya unga, wewe ungepika chapati hizi kwa ajili ya kuuza eneo gani? 👀👇🏾 #ChapatiZaBiashara #SwahiliFood
Chipupute8
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 08:31:29 GMT
Music
Download
Comments
shaa interior :
hata mzaram haongei hvi[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-09 08:55:38
1
NICE BAKES & BITES🎂 Dodoma :
Nlitaka kutuma video, kumbe haifai 👌😂
2026-09-09 12:53:36
9
sasha willy's :
hapo kwenye screenshot umenikwaza😏
2026-09-09 08:59:40
13
aishaswai2 :
nimependaa chetezoo chipuputee
2026-09-09 11:48:40
4
Vyombo vya kishua swax :
sema iyo chotezo yako jimeipenda
2026-09-09 09:55:58
1
___𝓗𝓪𝓻𝓳𝓪𝓽 :
Napenda content zako familiaaa 😩😩😩🔥🔥
2026-09-09 17:25:35
2
Nambuga :
😁😁😁😁 ila wewe et umerogwa na nduguzo wa upande wa baba duuuuuuh 🙌🏻🙌🏻
2026-09-09 16:19:19
3
"Real vogue jescar ✨️ :
nimepika chapati juzi nikinga'tq mishaps inasimama🤣🤣🤣
2026-09-09 10:44:49
5
TressyCosmetics & Collection :
Apo kwenye kuparalize imeniumaaa😅😅
2026-09-09 10:23:30
2
Rehema Wilson :
hivi chipupute ile jiko bei gani?
2026-09-09 14:39:34
1
Lidya Gendo :
Ngoja screenshot hii ya mwisho sirudii tena. 😎 Ila tusipojua kupika kwako baasi tukaombewe tu.
2026-09-09 15:02:51
1
sia97 :
kwa nn unanisema Chipu halaf kwa sauti😂😂😂😂
2026-09-09 09:16:33
1
Uniquegal :
ila chipu una hekaheka 😂😂😂
2026-09-09 17:05:59
1
Safia Tyuce :
Ndugu wa upande wa baba wanapata shida sna 😂😂
2026-09-09 16:52:29
1
Middah_The_Brand :
😂😂😂khee Chipupute jamani
2026-09-09 09:12:59
1
💖LUCIA MAJURA♎️ :
Mm nataka Hilo fukizoo tu😂😂😂
2026-09-09 13:32:41
1
Elegancewithnyla.tz :
Unapenda kunichamba wewe😂
2026-09-09 09:35:58
1
Grace :
me mashera wauzaj wote nawajua😂😂 hahahaha na kwanza nimeache 😭😭😭😭
2026-09-09 11:19:49
3
Johary :
Me nae kwenye chapati sinaga shuhuli ndogo🤭
2026-09-09 14:21:00
2
𝑇𝑎𝑡𝑡𝑦_ 𝑡𝑟𝑖𝑐𝑖𝑎 ❤️❤️ :
acha jifunze mie nilipika mabati ya msauz🤣🤣🤣
2026-09-09 09:04:57
3
miss candy💥👄 :
😅😅😅mimi uy umeniamkia leo
2026-09-09 08:42:11
2
GN-STORE :
hicho ndio chetezo? umeniongeza akili na mie
2026-09-09 09:06:14
1
Babyreen💞 :
🤣🤣🤣🤣🤣 jaman maadui walegee kama ulivolegea huu unga🤣🤣🤣🤣
2026-09-09 10:31:26
1
dzzy_8 :
Hatimaye vita ya mm na chapat inaenda kuisha 😁🥰
2026-09-09 09:46:11
1
To see more videos from user @chipupute8, please go to the Tikwm
homepage.