@allanwalestz: PAFYUMU NI MOJA YA MLANGO SHETANI ANAUTUMIA KWAKO Mwj. Allan Wales (+255) 0710679104 Follow @PASTOR Obed J Katunzi

Mwj. Allan Wales
Mwj. Allan Wales
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 08:39:45 GMT
36139
3180
237
415

Music

Download

Comments

egoniv
egoni :
mutumishi mungu akubalik yani nimejifunz na nitaenderea kujifunz
2026-11-04 06:39:50
0
chidi4289
HASSAN :
shida ya sikuhzi asilimia 99% bidhaa nyingi zinatengenezwa kuzimu.
2026-09-27 06:17:50
17
harun.white
Harun White :
Kutoka 30:22–25 — Mungu aliagiza mafuta ya kutiwa wakfu yenye manukato. Yohana 12:3 — Mariamu alitumia manukato ya thamani kwa Yesu. Mithali 27:9 — manukato yanatajwa kama kitu kinachofurahisha moyo. Kwa hiyo, tatizo si manukato yenyewe, bali matumizi au nia iliyo nyuma yake. Biblia pia inakazia kiasi na kutokufanya kitu kuwa sanamu au sababu ya kujivuna. Kwa kifupi: Kuvaa perfume kwa usafi na harufu nzuri si dhambi.
2026-09-19 19:18:22
7
rachel.antony3
Rachel Antony :
mbona kwenye bibria Kuna uvumba na manemane jaman mahubiri mengi yanatuyumbisha iman
2026-09-26 15:19:37
11
user622296978801
user622296978801 :
jamani ukiangalia yani kila kitu ni dhambi kwahiyo tuombe neema ya mungu tu
2026-09-22 11:13:58
16
user7434335511433
user7434335511433 :
nachoka mm Sasa cjui nifanyeje
2026-09-24 14:41:18
3
jacklinesabatho
mariana :
mm pafyuum yenye manukato makali nikiskia kichwa huwa kinaniuma jaman sjui kwann
2026-09-20 18:00:26
3
user5882098759279
patrisha :
asante mtumshi umefanya nizidi kubadlika kila niskiapo sauti ya mungu kuptia wew mungu azdi kukulinda
2026-11-02 10:34:32
1
james.paul8656
Rosemary peter :
jaman nn sasa tufanye mbona nachoka sasa
2026-09-26 07:57:47
1
apostlefrankchacha
NEEMA MPYA MINISTRY🙌🙌 :
watu tumeacha kufundisha mambo ya moyo tunaagaika na mambo ya mwili Yesu akasema mnafudisha mambo ya mwili mmeacha rehema
2026-09-25 16:20:20
1
user3877137536241
MLs :
pastor naomb unisaidie ivi kusuka nywele nizambi kam hazijatiliw dawa au lasta naomb unijib
2026-10-22 19:42:38
0
introvertboy344
Introvert boy♏ :
kila kitu ni dhambi eeh Mungu tusaidie😳😳
2026-09-09 11:30:40
6
e.munyugu
Eliabu Munyugu :
😁 Nakumbuka wakati naokoka NILIKATAA KUPAKA MAFUTA NIKIHISI NI DHAMBI NATAKIWA KUWA NATURAL BILA KUJIBADILISHA NIKIDHANI MAFUTA YA KUJIPAKA YANABADILISHA ASILI YA MUNGU KWENYE MWILI WANGU. 😁 Nilipokutana na hii post ya huyu mpendwa nimecheka sana. Mimi nilielimishwa maana hata nguo zangu za zamani kama t-shirt na jeans nilianza kuzigawa na kuzichoma. lakini baadae mama mchungaji wangu akaanza kuniona kama naanza kuvaa nguo mbaya zaidi wakati nilikuwa kijana mtanashati nilipomuelezea ndipo akaanza kunifundisha na kunisaidia. SASA HUYU MPENDWA SIJUI TUMSAIDIE NINI ? ILA HATUKATAI KWAMBA DUNIA YOTE YAKAA KATIKA MUOVU LAKINI HAUPATI HATIKA KWA PERFUME WALA NGUO ILA FANYA KWA NIA NJEMA NA KIASI ALAFU UNAPOPATA MASHAKA NA KITU KIOMBEE AU KIACHE LAKINI SIYO SHERIA KABISA KWAMBA USITUMIE KABISA. MAANA UNAWEZA UKAFIKIA HATUA UKAACHA KILA KITU HADI SABUNI, N.K UTAJIKITA HUTAKI. HII NI IMANI MBAYA WALA SIYO MSINGI WA IMANI YETU KATIKA KRISTO ILA INAWEZA KUTUMIKA KAMA USHAURI TU WA KIBINADAMU NA KUJIKINGA LABDA NA MADHARA YA KIAFYA ILA SIYO KAMA KIGEZO CHA KWENDA MBINGUNI
2026-09-23 04:27:58
3
user5900244492208
zai 💞💞 :
amen mtumishi huwanakuelewa sanaa ubarikiwe sana
2026-09-09 09:35:46
9
williammweta
Semkhai :
Mathayo 28:19 Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.
2026-09-09 19:32:46
4
deo.monica
deo monica :
hizi nyakati Zina mafundisho meeeeeeeengi Hadi tunachanganyikiwa mwisho wa siku mtasema tusile ugali ni dhambi
2026-09-13 17:46:19
0
neemaamos115
Neema Amos :
at kitabu kinasem mkabayizwe kwa maji meng mtanisameh tufany kip il tuiepuk zambi kaka
2026-09-19 19:26:26
3
user1302600723687
SAMWELI JONASY :
kweli kk na badhi ya perfume huwa zinaita majin au roho za kuzimu
2026-09-09 16:39:18
2
kefline.amos
Kefline Amos :
ni kweli mtumish wa Mungu
2026-09-20 17:41:08
1
user5628797767783
Kisuper♥️ :
acha bwana manukato ambayo rahabu alimpaka yesu ni yapi na haya ni yapi
2026-09-13 03:00:37
1
renardmwashilindi
022-Renard :
tujitiiishe chini ya neema ya kristo tu
2026-09-24 08:44:44
1
user3496711298776
tinaa❤️ :
mtumishi hapo ilizungumziwa kwa habar ya sadaka ushirika kati mungu na shetani na si manukato ukitaka kuelewa anza mstar wa 18 hadi wa 23 hapo utaipata point
2026-09-12 16:43:24
1
matth.luta
Matth Luta :
Wale walio batizwa kwa jina la Baba,Mwana na roho mtakatifu na wakajazwa roho mtakatifu je hapo anakuwa sio roho mtakatifu?
2026-09-09 09:46:06
2
user1638533600348
tuti Samson💗🥰 :
munguu tupe mwishoo mwema daaaah
2026-09-25 15:05:44
1
mawanja08
mawanja :
Yesu alipakwa manukato na yule mwanamke lakini alimsifia
2026-09-19 12:42:05
1
To see more videos from user @allanwalestz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About