@daxy886: Huyu ndiye alikuwa kiongozi bora anayeweza kuishi na jamii vzuri#Magufuri #tiktokviral #Tanzania #updates #viral #fyp #siasa #Tabora #tongoza
af anakuja mkuu wa mkoa anamfunga mtu ila hii nchi😂😂😂😂
2026-09-09 11:35:45
225
Carrinoh 33 :
Kwakwel Yule mkuu wa mkoa kaniuziiii😂😂😂😂😂sanaaa Kwan mtu asipende
2026-09-09 10:56:54
123
cayrine :
uyu pembeni ni Samia au nani
2026-09-09 17:15:26
7
🕳️RUBAX✨👻KANTEE📸💯 :
uongozi lazima uongoze watu wote📌📌📌📌📌
2026-09-09 13:31:13
41
Ndaki :
ila magufuli alikuwa ni mtu wa maan katika nchi hii
2026-09-09 12:57:22
157
whizu99 :
MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI😭😭😭😭
2026-09-09 11:25:42
79
Ummu Rey💖 :
Kupendwa ni vizuri 🤣🤣🤣
2026-09-09 14:52:59
19
nzumbe. ♣️ :
na mimi nilitaka kuipost ila umetisha kuniwakilisha 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
2026-09-09 14:28:15
3
kallissboy :
tunaoa mkubali magu like hapa
2026-09-09 16:08:55
20
Soph20205 :
full video ikwap😂😂
2026-09-09 17:56:20
1
Ally Lalika :
hakumaanisha hivyo ila alikuwa anamaanisha kutendwa aelezeew chanzo ni mapenzi kumpenda hapo alimaanisha msikiliza shida zote za wananchi na aliamini kapata mkombozi
2026-09-09 16:09:10
1
OKRINI ADAMSONI :
samia alibaki anatoa macho hakuamini
2026-09-09 10:27:20
26
Isaac :
R.I.P MASTER😭😭😭
2026-09-09 14:51:55
0
Tuma🥰🥰 :
Ila we magufuli umejua kutukatili mpka leo hatuamini kama haupo
2026-09-09 13:33:29
7
IT'S MIMI🔵 :
eti mkuu WA wilaya anachamba umbea. kisa kupendws
2026-09-09 10:01:51
44
Bahati Simon :
2026-09-09 11:37:10
18
Harrisonmom :
Mungu ahsante kwa maisha ya rais wetu
2026-09-09 13:21:52
27
Ashraf Issa :
Kuna mdaa namc vituko vyaa jamaaa😂😂😂
2026-09-09 11:28:25
21
balack123 :
sema Samia wa zamani alikua vizur
2026-09-09 13:36:25
28
To see more videos from user @daxy886, please go to the Tikwm
homepage.