@dalali_sam_kigamboni: NYUMBA INAPANGISHWA <>Location kigamboni Geza ulole 📍Ni nyumba ya vyumba viwili vya kulala sebule Jiko na public toilet 📍Nyumba ni nzuri ya kisasa, mazingira mazuri na Salama 📍Nyumba iko fenced, parking spaces kubwa Sana 📍Ni apartment Zipo nyumba 4 kwenye fence moja 📍Kila nyumba inajitegemea umeme&maji 📍Nyumba ipo jirani sana na barabara <>kodi ni Tshs 500,000 kwa mwezi, Malipo ni kuanzia na miezi sita 📍MAWASILIANO 0628983998 0792989875 #creatorsearchinsights