@devotajs: Replying to @malikia.mubarikiw Kuvunja laana za familia/Ukoo #chosenone #fyppppppppppppppppppppppp

Devota JS
Devota JS
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 08:50:47 GMT
4100
280
35
8

Music

Download

Comments

malikia.mubarikiw
Malikia Mubarikiwa :
point taken my sister
2026-09-09 12:41:44
1
alipipi39
Chosen One :
Kuna mafundisho kuwa ili uvunje generation curse lazima utafute wazee wa Mila walio wema wakuelekeze namna ya kufanya. Mimi nilimpata Shangazi yangu Mmoja kijijini, sijawahi hata kumfahamu. Akaniambia tambio lao lilikuwa kwenye mgomba kwa mkubwa wa ukoo kupiga mgomba wa matambiko kwa fimbo then mambo yanakaa sawa. Bahati mbaya alikuwa Mzee sana na alisahau mahali huo mgomba ulikuwepo. Hivyo nikakwama. Generation curse inatusumbua sana most of the Chosen Ones namna ya kuimaliza.
2026-09-09 14:23:58
1
kelvinmusyoka5226
Kelvin divoke :
oookey thanks
2026-09-09 13:27:07
1
priscapris3
chosen :
da devota Mimi naomba msaada kuna wanamke alianzisha ugomvi Mimi nikiwa mjamzito akanipiga akakimbilia polisi bado akawa mshindi yeye basi niliumia sana nanikashkuru MUNGU basi yakawa yameisha sasa miaka 2 imepita amenitafuta anasema nimsamehe kila mimba akibeba inatoka namimi sikumfanyia chochote anasema nimpe dawa hata sizijui😳 nifanyeje Mimi sikumroga??
2026-09-09 12:54:28
1
user631137212257
Nyamongo Da G collection :
Ni kuvunja kote kote ndivyonajua hvo
2026-09-09 08:57:47
1
nabsher61
peshii :
mungu anipee mwalimu au rafiki kma wwe tutafika mbali yaani mungu aninulie rafiki ambae anaufunio wamambi ya mungu kma wwe sitabaki vile niko nitainuka
2026-09-09 10:33:21
1
ginah_official
ginah_official :
hapa umeongea vizuri kwa kweli mana na mimi hii mada nliitaman nielewe.Kwa hiyo ni kujitenga kabisa cha kwanza with no comunication kabisaa,afu ndo unaanza maombi yako ya nguvu.Asantee
2026-09-09 11:39:15
1
user1356658514814
user1356658514814 :
hi mom nakulisa Mimi ni chosen one my family wamenitesa sana na Bado wananitesa Sasa kitu napikana nayo kwa hii mwika ni majini waliposhitwa kunia Sasa wananizukumia majini Yani mama majini inanitesa nisaitie nifanye aje na pikana nazo naziua.lakini anasukuma zingine
2026-09-09 10:50:13
1
maziku371
maziku :
nakuuliza mpendwa hii ukoo ikiwa kwa mama inakuusu? kukiwa nahiyo laana?
2026-09-09 14:21:07
1
adrian5612
Kileo Toto fashion 🩵🩷 :
Ni familia tu au mpaka upande ulipoolewa
2026-09-09 09:08:13
1
devotajs
Devota JS :
🥰🥰🥰
2026-09-09 08:51:22
0
user3344687676614t
Mvamila wa mvamila :
hakika san dada
2026-09-09 16:56:28
1
salmayusuph57
Salmayusuph🥰🥰 :
nakuzivunja hizi laana kama wewe ni mteliwa kweli bas utaongizwa tu ndani Yako.. Mimi nilisikia na nikafanya kwa siku Saba kuamka usiku na asubuh naamkia kufunga na wakat wakuamka kuswali usiku ilikuwa nazungumza hayo yakuvunja minyororor kuvunja maagano pande zote mbilii nakuwaombea msamaha na baada ya siku kadhaa niliota bibi yangu mmja alikinipa hela nikanunue mkate yaaan nilikuwa naona vitu kunamuda nabomoa mahali mama angu mkubwa ananiptitisha dirishan nipenye kuingia ndan ilinitokee mlango wambele so inakujia tu na mwongozo unaupata ndani Yako,,nakuna vitu walifanya bibi zangu wawili yalikuwa yananikera na niliwah mwambiag dada yangu hiv bibi walikuwa hawafikirii kweliii so nilionaga vibaya mapemaa
2026-09-09 11:37:54
0
alipipi39
Chosen One :
Ila Mimi familia niliyotoka wote tumepitia majanga makubwa sana mpaka nawaza hivi sisi ni familia ya kiteule nini. Kaka yangu wa kwanza ana miaka 20 sasa tangu atoweke nyumbani. Amepitia Mapito makali sana na alikuwa na akili nyingi mno. Mdogo wangu wa mwisho hivyo hivyo mpaka amepelekwa milembe kwa matibabu. Kaka yangu mwingine maajali kama yote. Mdogo wangu wa kike hivyo hivyo. Mimi ndio usipime Yani. Yaani japo mimi nimeshajitambua kuwa ni Chosen coz ndio nilikuwa mtu wa kwanza kuleta Nuru kwenye familia. Lakini kila mtu kapitia majanga yake Hadi Marehemu baba yangu nahisi alikuwa chosen one kwenye familia Yao.
2026-09-09 14:30:12
1
alipipi39
Chosen One :
Hivi Chosen One anaweza kumzaa Chosen one? Kama anaweza atamleaje bila kumchukia maana most of chosen wanapitia chuki kutoka kwa wazazi mpaka Ndugu.
2026-09-09 14:31:16
2
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About