Sheru2 :
Mna,tunyanyasa,Uwezo,wa mtanzania,ni,mdogo,na,wengi,ni,wakopaji.ukope,ununuwe kiwanja,au,shamba,urudishe,mkopo,ni,miaka,miwili au,mitatu.Ukope,tena,ndio,ujenge,kidogo,kidogo.Mueleze,Raisi,aajuwe,wengine,ni wakopaji.Je,ni haki,kunyanganya,mali za wananchi.Afikirie,tunao kopa.Italeta chuki,na kuu uwana.Mtazame wakuu walio zuia mashamba,zaidi ya heka kumi,hao ndiio mdili nao.sio mtu mwenye heka 3au 5.Au 1,au2.Hapo,mtasababisha,vita.,Msi mtie rais,ktkk,hiili chuki zita zidi.
2026-09-14 16:42:07