jmn me sijui nina nn napenda sana ivi vitu wallah 🥰🥰
2026-09-09 18:45:45
49
W. S. K _ 21 :
Dhikri ya uwimbaji wa Asili ya kusini ALLAH 🕋🤲☝️
2026-09-09 15:59:52
74
Issa Msaka :
dinni na uganga wapi na wapi jaman
2026-09-09 11:10:48
9
z :
tumswalie mtume
2026-09-09 19:28:54
22
𝓔𝓻𝓲𝓬𝓴 🇹🇿🇩🇪 :
kama tu baadhi ya waisilam wanashangaa hii ibada mimi ni nani!? Mungu atusaidie
2026-09-10 01:05:20
14
official Naa❣️ :
Daaaah 😭😭😭 huu ugonjwa usikie tyuu kwa wenzioo
2026-09-09 19:07:44
7
qarnayn :
huyo mama mandawa zikri zao hatar
2026-09-09 10:07:15
7
iscar Nathan :
kubambia inaruhusiwa,????
2026-09-29 20:10:45
0
Kilian Dand :
jina la zkr🙏
2026-09-09 16:03:45
2
Baraka Mohammed :
allah awalipeni kher leo duniani na akher
2026-09-13 06:58:28
0
jr hom :
adi Raha iz besi
2026-09-10 19:00:50
1
Shuwea Mussa :
hadi rahaaa
2026-09-10 08:52:54
2
tukano bm :
habar yako kaka mm sijui ninatatizo gan nikiskiliza zikri haichukui muda kichwa kinajaa namuda huohuo sielewi chochote kinachoendelea hii inasababishwa nann tafazali nijibu
2026-09-12 14:44:32
1
chonga jr :
kweny ushetan Allah wann tena ndg zang dunian tunapita tumuogope Allah huu mtihan Allah awaongoze
2026-09-10 08:16:09
7
🎄SHARIFU NURU💫 :
hii ni dawa sana
2026-09-09 16:26:43
5
Salma Mohamed :
mama zungu Msalimie san
2026-09-11 08:35:47
1
Jasmin :
daaa adiraha jamaniiiiiiiiiiiii 🥰🥰🥰
2026-09-10 18:59:38
3
Ramadhan :
saaalaf tuna kazi kubwa sana walah ' kama ni dini hi bas kazi ip
2026-09-10 19:21:35
1
mrishopambakali :
wapi iyoo jmn na Mimi nije 🙏🙏🙏
2026-09-09 16:20:27
0
вẸ℃𝐊𝐇𝔞Μ :
uhibukum fi allah
2026-09-10 05:03:13
2
Peace video Grapher📸 :
Daaaah kitambo xana
2026-09-10 00:03:08
2
Rahma01 :
tumswalie mtume
2026-09-10 14:12:04
4
mchuchu ❤️ 🦋 🦋 :
raha Sana zikiri tanga tukikutana kila mwaka mpk nywele zinasisimka htr mpka raha 🥰🥰🥰
2026-09-10 23:14:10
0
ashufeys :
mbon mim kichwa kinanisisimk
2026-09-10 15:03:51
2
Alnam :
Darwesh
2026-09-09 10:11:05
1
To see more videos from user @nanga.the.don7, please go to the Tikwm
homepage.