@george_pixel1: NEW APARTMENT IN MASAKI. FOUR BEDROOM ,THREE BEDROOM,TWO BEDROOM AND ONEBEDROOM THREE BED ROOM STARING PRICE. TSH 650 MILIONS EQUAL TO $2441000 📞 0760394587

TAJIRI ESTATES
TAJIRI ESTATES
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 09:31:18 GMT
180906
7522
199
250

Music

Download

Comments

maru_rashidy
💫maru_rashidy☘️ :
650M unajeng ghorofa lak na chenchi ya baki
2026-09-09 11:20:22
81
allybanza08
Ally Banza 🍃 :
😹 650M+ Bora ninunue 4 mabibo kwa 50M kila moja (200M total) Afu natumia 70M kujenga each house yenye 4 apartments (280M total) So ntakua na total 16 apartments na 170M imebaki! 1 ntakaa mwenyewe 15 apartments zinaniletea hela chumba master, sebule, jiko kwa 250K/month! Kila mwezi napokea 3.75M kila baada ya miezi 6 napata 22.5M na kwa mwaka nna 45M 😁 MAISHA NI KUCHAGUA
2026-09-12 04:23:40
18
colmanshirima215
mr faza :
wapangaji wa.hyo bei hawapo tiktok umepotea njia
2026-09-09 17:05:05
60
tonny20266
Tonny@17 :
shida location tu.. ila huu mjengo ni mdogo sana kuwa na 600M
2026-09-10 18:23:56
3
franksilly258
franc silly :
tulioangalia mpaka mwisho na pesa ya kula tu changamoto tujuane
2026-09-14 11:53:26
5
arnoldntine
iconx :
yan hio 650 inakupa hio apartment maisha yako yote au
2026-09-12 10:39:50
2
junior.simon40
Junior Simon :
Yan hiyo ela nanunua kiwanza najenga nanunua gar nafungua biashara Bado ela inabaki million 300
2026-09-09 15:39:29
14
ngoshaphonefix
Ngosha Phone Fix :
650M kwa mwezi au mwaka?
2026-09-09 19:20:48
6
salck_13
Salck Pablo :
Sio ventilation ya hewa safi n ventilation ya AC😁 tajiri
2026-09-11 10:10:23
0
erric.kisigo
erric kisigo :
mh m600.. nanunua nyumba 30 mbagala
2026-09-10 12:04:13
1
zeannah202
Zee Luxury Bags👜🦋 :
Wallah ipo siku nitanunua apartment masaki Ishaallah 🤲
2026-09-10 09:47:53
0
wanusujoh
bad guy :
650ml ndo nakuwa nimeinunua nyumba😄😄
2026-09-10 21:01:03
0
radefurniture
Rade furniture &Home decor :
600 nikununua au kupanga,kama ni kupanga inatakiwa mkamatwe kwa kuishusha thaman ela ya Tanzania
2026-09-10 18:21:01
1
norah4867
Norah :
650 plus ferniture?
2026-09-09 17:48:52
2
bravian_phd
bravian_PhD :
650 nashusha mjengo wangu wa maana kigamboni kubabake tena ghorofa 1 kali tu yenye kila kitu
2026-09-15 14:30:29
1
yassir.said5
Yassir Said :
unanunua au unapangishaa
2026-09-09 18:38:27
2
runguboe
Rungu boe🌡️ :
😂😂😂😂 Kwani ???kwanza nimeilisha Sina swali 😂😂😂
2026-09-11 13:21:37
1
leewkhan
Leewkhan :
Nahitaji nataka kulipia miezi 7 inawezekana.
2026-09-10 15:49:46
1
g4real27
G*4real🤦🤦 :
kwenye dollar hapo cjaelewa ni ngap nataka nilipe kwa dollar na hizo dollar uniambie ntatoa wap mm🙃🙃
2026-09-09 19:35:46
2
yusuph.juma731
Yusuph Juma :
nitakuj nikifuga dowa
2026-09-09 18:07:56
2
binnah_51
Binnah Slay Avenue :
nanunua kabxa ama napanga tu kwa bei hio?
2026-09-09 18:48:49
2
ivangiven
ivan G :
chakushangaza watu mnashindwa kununua hadi haka dah polena
2026-09-09 17:56:46
2
calvny_law
calvny_law :
safi sanna una tumia jina gani play store niku install
2026-09-10 04:56:44
3
fololotz
F O L O L O 🦁 :
Open Kitchen Genge
2026-09-09 16:57:06
2
katoweldingiringa
Kato welding iringa :
net ipo nje ya nyumba
2026-09-09 17:11:33
3
To see more videos from user @george_pixel1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About