@saizi.yako:

RAISI WA CHAMAZI
RAISI WA CHAMAZI
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 09:40:19 GMT
886333
56041
1940
5492

Music

Download

Comments

aggie5548
aggie :
najua mnataka kama huyu lakini Sisi ndio tuko😂😂
2026-09-10 11:19:41
1865
officialngoniboy1
officialngoniboy1 :
Hata uchezeshe vp lazima ni pauwe nyumba yangu😂
2026-09-11 18:13:17
654
user8671819178216
furaha @# :
tunaompenda Mungu tujuane hapa
2026-09-12 09:59:31
1886
user9956913746133
tripple b :
ahsante Mungu mume wangu kaibiwa cmu
2026-09-11 12:28:04
626
iamm._39
Iam reneey🧘🏻‍♀️ 🇹🇿 :
Sh ngapi Mme wangu aenjoy leo😅
2026-09-13 18:48:59
280
aminata.paschal
Aminata Paschal :
jmn tulio mwona mara ya kwanza tujuane😳😳
2026-09-10 15:30:07
762
ukhtynaa12
Habibty Roughy"🌹 :
Hapo ikiingia tu, speed inapungua
2026-09-10 08:12:02
288
trix.cappuccino
Trix—cappuccino🧸🦋 :
Vitu vya bwanangu kabisa ukificha suraa 😂😂😂😂😂
2026-09-13 13:51:51
116
mrprincekei
Mr prince k :
Damn,hapa salary yangu ya 50k nikipata namtumia 49,950 hiyo chwani imebaki niya kumuuliza ka amepata. gaddemit 🥰😂
2026-09-10 11:29:51
36
isher995
isher95 :
ahsnt mungu mume wangu anakiswaswadu😅
2026-09-13 18:42:56
20
pretty...tuma2
😍 fateemah 🦋 :
najua mnataka kama huyu ila sisi ndo tupo😂😂😂
2026-09-15 12:29:06
13
mozakaimu
Moza Kaimu :
Ewe mwenyezi mungu saidia hii asiione mumewangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-11 15:26:53
9
princesses.shahna
🎀Aiem shahna🎀 :
Kama umemuona kwa mara ya kwanza tujuane 😁
2026-09-10 18:38:19
26
joeyreubens
Joy Reubens :
vitu vya mtu wangu kabisaaaa lakini mimi ndio niko
2026-09-14 12:13:18
15
user2628123347446
🦋🌹its me🦋🌹 :
mme wangu najua uko huku kumbuka tu kinga 😅😅😅
2026-09-15 12:54:39
18
faith46341
faith🦋🦋 :
huyu aneza zungusha maisha yangu yote
2026-09-15 08:00:03
7
lidyapaulb
🍎🥰💕 :
mungu atupe mwisho mwema
2026-09-15 20:05:10
14
hussein.bisi
Hussein Bisi :
Say my name baibe[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-12 20:02:00
1
user6270175816103
jackline :
tumsifu yesu kristu
2026-09-13 18:33:59
10
fatihswafi
Tee wa mtumba💪 :
Mimi ma mme wangu tunahitaji mmke 😂
2026-09-11 21:53:56
8
mwakita5
Issa :
ndo maana nilikufa kuepuka Aya mambo ya kutamani kalibuni peponi jamani
2026-09-11 16:38:01
6
bahati.ramso
Bahati Ramso :
halafu tunaoolewa ni sisi tusiojua chochote 😂😂😂sim ikipigwa unaambiwa kaa kimya niongee na wife 😁😁
2026-09-12 06:07:25
113
freeman_642
freeman_mboya :
Hata Ufanyeje Lazima Nijenge
2026-09-10 11:15:04
93
ithbatali
Ice lolly :
bei gani nimnunulie mume wangu
2026-09-12 17:46:57
51
momo.cute72
DA MOMO💕 :
shingapi nimnunulie ex wanguh azidi kunisahau😂😂😂
2026-09-12 10:32:15
9
To see more videos from user @saizi.yako, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About