@ibrahthedon: Kosea kote lakini usikosee kupenda.

Ibrah Thedon
Ibrah Thedon
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 09:54:26 GMT
42674
4960
112
203

Music

Download

Comments

1am542
Amidu_marikan_190 :
I wish you a long life my brother 🤲🙏 🌹🌹🌹
2026-09-09 22:16:02
0
pendo.amosi52
Pendo Amosi :
daaa ndo ninayo pitia saiv jamn
2026-09-09 17:33:04
4
winfridachikuja
winnie❤️💕 :
my situation 😭😭😭😭
2026-09-09 20:48:47
1
pililussewa8
Cute 🥰 Mshikemshike 🥰 :
haswaaaa❤️
2026-09-09 18:49:03
0
user6553963251667
mayra og 💞💞🥰 :
Yan so yakusem nihatal mi nimesha jiongez mapemaa🥰🥰🥰
2026-09-09 12:07:05
2
m864547
MRS...🇹🇿🇰🇪🇸🇦🇲🇾🇱🇻 :
That's true ❤️❤️❤️❤️👌👌👌👌👌
2026-09-09 12:00:23
0
husna.harabic
baby h :
inauma alafu ndio nisha mzalia natoka nimezaa anijali kabixa
2026-09-10 02:04:27
0
chunuhwangu
chunuuh wangu :
uyo ni mm asa 🥲🥲mungu anipe subra tu mana mmh naona giza walai kila sk uko bz ila tiktok anapost najuta kupenda walai kumove on nimeshibdwa sijui nifanyeje
2026-09-09 19:44:19
2
frebha.kerubo.ker
shellyann kerry Matilde :
hmmm
2026-09-10 06:17:09
0
priscypriscy243
priscy beauty 😍 :
kweli kabisa
2026-09-09 20:15:04
1
miss.careen96
Miss careen :
My situation
2026-09-09 20:11:56
0
user828665994
Fatma :
kabisaa kaka angu🙌
2026-09-10 05:05:54
0
polin4879
polin :
inama sana😭
2026-09-10 05:19:08
0
winnie1699
Winnie :
Nikweli jaman kaka kama umeyaona ninayo yapitia
2026-09-09 21:04:32
1
florencesantaka22
Hawe Kadzo :
Ukweli mtupu my dear brother,nimepitia hayo na nimeacha kujipendekeza kwake sasa, mapenzi yaumiza ukikosa mtu mwaminifu 🙄😔
2026-09-09 19:20:40
1
nuruwamanzimashin
nuruwamanzimashine some wa ma :
nadhani ujumbe umefika
2026-09-09 10:18:48
1
user2133014144950
@ummy ima :
jamani kila kitu kina mwisho wake Allah atupe subra na atupe imani ya kumjua yeye na kumuomba msaada na hatma njema
2026-09-09 20:43:40
1
bintinicholastz5
Winie tz 🥰 :
kabisa uwa inaumiza sana 🥲
2026-09-09 10:00:22
0
deezylukas
Dezeey😘 :
Nishakosea bnhaaaa
2026-09-10 04:57:37
0
user5416550182767
user5416550182767 :
Sasa, nmeshakosea kitambo tu na nakoengeza kuolewa na kuzaa nae ila dah sema nn ndugu za nmepoteza kinoma,Maana hanijal alafu ananibania hata kufanya Kaz, lakn namuomba M/mungu anitoe hapa nkapambane mbele kwa mbele
2026-09-10 06:17:32
0
user4615392599800
user4615392599800 :
Muhimu subra 2 hakuna unalotenda nawe usje kutendewaaa tena yy hulipwa mara 2zaid.
2026-09-10 05:43:36
0
esterjulius506
Ester Julius :
nikweli kaka ivyo vitu vinatokeaga
2026-09-10 05:02:28
0
sandra.massawe
Sandra Massawe :
nihatari
2026-09-10 05:40:18
0
To see more videos from user @ibrahthedon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About