@jvckieseven: baada ya kutoa wimbo wa TWENZETU mwaka 2005 Chege aliwavuta tena Temba na YP kwenye dar mpaka moro ya mwaka 2007 mwishoni, ukiangalia story ya huu wimbo na ule wa TWENZETU ni kama zinataka kufanana kidogo, hii ilikua ni production safi sana kutoka kwa producer ENRICO 🔥
JvckieSeven
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 09:57:03 GMT
Music
Download
Comments
OFFSIR :
producer ni enrico wa soundcrafters
2026-09-09 19:45:30
2
Ali Hassan cardy :
old is gold..
2026-09-10 12:54:51
4
Lengai Mollel :
Duuh R.I.P YP sauti yako inaishi
2026-09-10 08:30:18
1
Bongo Catalogue :
point of correction.....Producer ni Enrico Figueredo
2026-09-09 10:16:52
3
Orezi Wizzy :
🔥
2026-09-09 22:15:27
1
ZAHARAN :
duh 🙄🙄🙄 nipo darasa la 7
2026-09-10 06:57:33
1
rubenmaobe :
apumuzike Kwa Amani Yp
2026-09-10 05:33:06
1
Fetty Mnyika :
me naomba ya twenzetu
2026-09-10 21:18:27
1
Essie🦋🦋🦋 :
Ina mana, Mimi na nyimbo mkubwa nyimbo si ndio.
2026-09-09 21:21:15
1
One Eliado :
YP mean
2026-09-19 11:46:03
1
Nina💖Brian💪 :
2026-09-09 11:20:56
1
Lôţĥă'§ Søñ💫 :
2026-09-10 09:52:45
1
saadamosh :
yp kachana hatarii mungu amrehemu
2026-09-10 12:51:11
0
Juju🥰 :
enzi hizo ndo LY( last year std 7)
2026-09-21 19:36:43
0
lonely survivor. :
my best song.
2026-09-14 21:00:04
0
KING ~MNYIRA🏀🏆🇹🇿 :
ila mademu wa zamani jamani 😁
2026-09-15 04:26:49
0
COLDEST :
sio 2007 ni 2009
2026-09-18 06:50:41
0
elivafondo :
enz hyo bnaaaaa
2026-09-15 07:45:45
0
johara :
Apo ndipo ngoma safi kishua
2026-09-12 18:45:59
0
user2253407550148lastborn son. :
wanaume halisi
2026-09-13 10:06:33
0
Omwana 🥰 wa❤️Emmy🤗 :
2026-09-25 20:23:42
0
KING ~MNYIRA🏀🏆🇹🇿 :
kwani temba yuko wapii
2026-09-15 04:08:46
0
Hishaam Ratyb :
Tema anachana sn
2026-09-20 19:36:38
0
kibega II jr :
enricho na bizman, hapo soundcrafters, moto ulikuw unawaka 🙌🙌
2026-09-14 10:52:35
0
fatina :
Wow old is gold
2026-09-10 18:56:57
1
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.