@bintyjaliyah: Hakika, dunia hii ni mapito na maisha ya kweli na ya milele yako huko akhera.Ewe Mwenyezi Mungu, nijaalie moyo wenye kuridhika, unisaidie kukumbuka daima kuwa dunia hii ni mapito na kwamba kifo ni ukweli usiopingika. ​Niongoze kutenda mema, nipe wepesi wa kujiandaa na safari ya akhera, na unijaalie mwisho mwema. Amina.🤲📌🤍🕋✨✨🔏🎁#fypシviral__ #mwishomwema🥹🤲 #InshaAllah

🌸 Gulya🦋✨
🌸 Gulya🦋✨
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 10:00:40 GMT
2597
310
8
6

Music

Download

Comments

jamalirajabu726
Jamali :
Allahuma inaasluka husna khatima
2026-09-09 11:11:49
2
shadowmaster10mas
shadowmaster10mas :
mungu atuingize pepo ya firdaus
2026-09-09 13:01:14
1
islamabdi64
Islam Abdi :
Allah akbar
2026-09-09 13:41:28
1
user1817374619670
halima jaffar :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-09 10:03:41
2
mohamedissa9477
[email protected] :
🥰🥰🥰
2026-09-09 11:22:53
2
To see more videos from user @bintyjaliyah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About