@ali_wisdom: “Tulijaribu kusimama upande wao kwa kila njia, tukapigana kwa ajili yao kwa moyo wote. Lakini hawakuwahi kuelewa nia yetu. Mwishowe, tukagundua kwa uchungu kwamba katika kuwapigania wao, sisi ndio tuliojeruhiwa zaidi.” #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou

ali_kim
ali_kim
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 10:11:11 GMT
4064
306
5
24

Music

Download

Comments

zakariaomari968
zakariaomari968 :
Kuna wakati mioyo yaumia mana imebeba majeraha mazito ya kile kinachoitwa upendo.Hakika jeraha la upendo huwa sugu na daima hubakia kuunguza mioyo yetu.Mapenzi yamewapa wengi maumivu na kuwanyima faraja ya milele.Hakika kupenda si kazi ila kumpata mtu sahihi ndio changamoto😔😔. #zakariaomari968
2026-09-09 12:25:44
1
user6000638661638
@Digobae🦋🦋🦋 001 :
kabisa
2026-09-09 18:30:11
0
user80619133857078
chamy baby :
😌
2026-09-09 10:39:52
0
ibuape
Iɓou :
❤️‍🩹
2026-09-09 11:28:59
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About