@magarimaarufu: Nmekutana na haya maajabu Moshi @jojingo_auto_garage_1 wametoa Injini ya BMW iliyokufa na kuweka injini ya Toyota na inafanya kazi vizuri tu. Wana uwezo wa kuunda gari na wanapiga Rangi na kunyoosha Body kutoka kuwa limechanganyikiwa na kuwa Gari mpya kabisa.
Dhuluma .. you shouldn’t drive a bimmer.. afadhali angeiweka B57
2026-09-09 13:37:18
0
Kora :
Maclaren use mercedes engines straight from the factory hows this maajabu 😅😅
2026-09-09 12:04:24
3
lumlum :
contact zao please
2026-09-09 18:01:42
0
user79559628607 :
numbers ya fundi
2026-09-09 17:22:37
0
Be.speciaL :
sasa hii tunaita BMW yenye engine ya toyota au Toyota yenye body ya BMW
2026-09-09 10:36:33
12
Eduardo Colleone :
1g engine vs zf8 gearbox, mmewezaje kuifunga?
2026-09-09 17:16:06
1
. :
nikinunua crown nakuj kuweka ya v8
2026-09-09 10:57:07
5
jastini2o :
land cruiser man
2026-09-09 10:57:41
0
Baraka Shaibu :
hiv kwann mafund tukishindwa kutengeneza gar tunasingizia virainishi
2026-09-09 11:04:00
1
MoDy KeNzO 👣👣👣 :
correction hiyo ni 1G bana sio 1GD yani kwqnza haitakuwa na speed kabisa cz ni engine ndogo bora mngeweka 1kd
2026-09-09 15:08:28
2
Comrade :
samahani wakuu mbona kama fundi kasema 1gd lakin engine kama ni 1G ebu angalieni hiyo water pump
2026-09-09 13:30:37
1
𓆩 Truth 𓆪 :
nlkua nasubir jina la engine...
1GD 🔥🔥
2026-09-09 12:04:32
1
Baby boy👶 :
hii ni mbaya aloo🔥🔥🔥
2026-09-09 10:25:55
4
Patrickjkivuyo :
Naona unapambana n YOUTONG effectively 🫡🫡
2026-09-09 12:20:55
2
KILAMBA;- CAN NETWORK :
SORRY NI 1GD AU 1G-FE niite nije kukufanyia wiring safi hapo
2026-09-09 19:38:04
0
TXL..🏍🇹🇿 :
Naona kama ime wekewa Engine CRUISER 😂😂🤣
2026-09-09 10:32:51
3
daga magari :
inawezekana
2026-09-09 21:27:09
0
last chanse :
Jijingo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-09 22:18:28
0
Johnathan Mrema :
iki tembea nakuletea na ya kwangu
2026-09-09 20:53:22
0
SHIMBONYI FURNITURE city :
nice
2026-09-09 20:50:30
0
king Apollo :
MOSHI KAMA MBELEE🔥🔥
2026-09-09 22:06:41
0
mleu :
mbona engine inaonekana kama ya mark 11 1G?
na 1G engine aina uwezo hiyo body ya x5 ni nzito
2026-09-09 20:23:08
0
Abbas A maokomoa :
Sasa fundi wa Moshi huoni body la BMW ni nzito sana kuliko hiyo Engine 1G vvti haitachelewa kufa bora ungegunga Engine 2JZ kidogo afadhali ahaa ila Moshi kiboko
2026-09-09 20:17:08
0
Barak180 :
apo heri ingekua 1gd but 1G kwa body ya hio gar sizan kama mwendo utakuepo
2026-09-09 20:44:48
0
To see more videos from user @magarimaarufu, please go to the Tikwm
homepage.