@frank.25106:

Frank @25🇹🇿🌍
Frank @25🇹🇿🌍
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 10:20:45 GMT
18333
1374
222
104

Music

Download

Comments

user9926065681806
NIFFER LUPEZ 💚👄💥 :
Ya mbu inatosha kbs ya ndoa at mim sitak sio vitu vyangu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-10 18:17:19
1
sheilamgagani
Sheyshey :
Nimepewa neti ya mmbu na Bosi wangu inatoshaaa🙏🙏🙏
2026-09-09 12:13:10
8
official.kadogoo
official kadogoo😝 :
me navaa net ya kharus
2026-09-09 13:07:58
3
jcutyjj
cute🥰 :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] nety ya mbu inatosh ndug
2026-09-09 11:15:58
1
antia.jovin
Antia Jovin :
guys jamani ya mbu inanitosha sitaki tena😳😳😂
2026-09-10 12:32:37
1
merrychuwa355
Merry Chuwa :
ya mbu toshaaaa😂😂😂
2026-09-09 12:51:53
2
463darliee
darliee :
🥲neti tu ndugu yangu
2026-09-09 12:21:54
1
josephinanickorau
Josephina Nickoraus :
hee kumbe kun mausiano jmn nahamsem🤣🤣🤣🤣
2026-09-09 13:01:57
1
milkajosphat106
sapi abimesa :
mm mpaka sasa mwezi wa pili naivaa hiyo net ya halus💖💖
2026-09-10 09:56:28
1
johnpeter1812
mamy jenny :
Nashukuru Mungu nimeshavaa hiyo neti yaharusi
2026-09-09 12:33:32
1
madamirenethomas
Irene Thomas🥰 :
jmn mm net ya mbu inatosha stk shida
2026-09-09 13:22:26
1
happysulle8
happysulle350 :
kwasahv y mbu uhakika,ya mungu mengi huenda ikawa baadaye nitavaa y harusi
2026-09-09 18:29:28
1
faifatna
fatnah & faidhat :
ya mbu inanitosha
2026-09-09 12:38:36
1
aisha97631
AISHA✅ :
hata ya mbu ni inshu sana..
2026-09-09 11:33:41
1
_.mymartha
my martha 💕 :
😂😂😂😂nachoka mimi
2026-09-09 11:36:13
1
user6981745553288swammy
prosper combat🥰🥰🥰🥰🥰🥰 :
net ya nyumbn inatosha😂😂😂
2026-09-09 12:42:05
1
swabrah093
swabrah :
onger yang mim nilie vaa tayar
2026-09-09 17:47:56
1
witness.mawazo
Witness Mawazo :
mm nimejifunika sana ya mbu kwahyo mungu angenipunguzia azabu ata kidogo ni vae ya arusi
2026-09-09 19:10:03
1
linah.laulian2
Linah Laulian :
alafu kuna mimi ata neti ya mbuu sijawai kuvaa😳😳🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mniache sasa🙌🙌
2026-09-09 21:13:47
1
sheilaramadhani234
shey meme🥰🦋🦋 :
nataman kungekuwepo na voice maana nashindwa kuelezea😢😢😢😢
2026-09-09 12:29:09
1
user7158797172133
mwasiti hassan :
me jmn net ya mbu tu inanitosha hata sina shida na net ya harusi
2026-09-09 12:33:08
1
xeda_kz27
xeda_kz27 :
yan ata ya mbu sijavaa mwaka huu sivai neti yoyote
2026-09-11 14:04:46
1
user94377618194606
Lastborn 🫂🥰 :
ya mbu jmn mm inatosha
2026-09-10 19:11:47
2
mama.samarah
mama samarah❤✨️ :
hata ya mbu nawasiwasi😂😂
2026-09-09 12:07:34
3
user8361093859511
Thed :
hata ya mbu sidhan
2026-09-11 16:07:51
0
To see more videos from user @frank.25106, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About