eeh Acha Tu nilitumia pesa nyingi, hospitality tofauti adi daktari wa mwisho akaniambia dada fuatilia maagizo ya dawa na zingatia diet wueh ata sijachikua week naona madadiliko. niliumwa Sana mgongo asee
2026-09-11 03:40:35
1
Laila Mohd :
naitajii nakupatajee
2026-09-10 18:07:01
0
Hilton :
ni tiba yake mama mm pia na urick qsid nyingi na hypairol jmn naumwa mgongo kiuno tumbo ,maungio ya mkono yaan cwez hata kubeba vitu vizito jmn
2026-09-14 07:07:16
0
Emilie mapendo :
Jambo maman unapatikana upandangani miminiko goma
2026-09-13 20:32:37
0
FRIDA@21 :
Daah....tujuzane my dear nateseka sana
2026-09-12 14:30:48
0
beiramu :
sasa dada naponqje nqhii qcid nq ges
2026-09-10 09:12:01
0
adella samba :
Asante. mwanangu dawa ni nin
2026-09-11 16:14:28
0
samiraabduli120 :
tusaidie tupataje dawa mimi naumwa xn mgog
2026-09-10 14:43:12
1
Abass Ally :
Suluhisho la ugonjwa ni kuonana na mtaalamu sio dhana kulinganisha tatizo lako na ya wengine
2026-09-11 17:36:27
0
nashuuomar :
Mimi mmoja wao jmn
2026-09-10 14:47:35
0
jerome :
Aisee mm naumwa na mgongo mpka nimekata tamaa na nina vidonda vya tumbo na Acid
2026-09-11 14:29:11
0
shamazz :
hay,pia mm Niko hivyo ntapataje dawa plz
2026-09-10 14:47:46
0
Hayatim💕 :
Mm mgongo Na moyo kukaa san siwez na moyo inatokea unachoma san huwez kufny llte 🥺
2026-09-10 05:31:04
0
David Charles malulu :
Ila watanzania buana 🙌
yaaani mpka sasa simwamini mtanzania Nina tatzo la acid reflux na mgongo ndiyo changamoto yng lkn nilishatumia dawa za Kila aina yaan Kila nikisikia taarifa kama hii Mimi nafanya Kila kitu mwisho inakuwa ovyoo ovyoo
2026-09-11 14:30:08
0
Anty muu :
mm siwezi kukaa kwa mgongo kuna mama flani kanambia wewe sii hupati choo basi ndo sababu wallah kila siku nakula vivian kwa maumivu makali
2026-09-10 04:08:00
0
QwiinDAULA. :
ooooh Alhamdulillah umenifumbua sasa coz Mm naumwa sanaa na mgongo mpaka magoti na kisunzi.. kumbe ni Acidity shukran Mwayaa..
2026-09-12 20:54:40
1
user859950631555 :
Sasa siutwa mbiye
2026-09-09 13:03:45
0
kisutz0 :
tuwambie.daw
2026-09-14 14:35:58
0
Esthermusenya @gmail.com :
tupee number ya Whatsup
2026-09-14 07:08:48
0
Zee :
Basi tupe number ya simu
2026-09-14 09:02:29
0
kissy :
nisaidie dawa
2026-09-13 19:03:58
0
peshi belly 5 :
namba please
2026-09-13 18:31:08
0
queenhafswa :
tume dawa
2026-09-13 18:20:27
0
momy twins 💓💙 :
nipe link please ni join
2026-09-09 16:47:41
0
To see more videos from user @coachfatma_tz, please go to the Tikwm
homepage.