mbona kula maisha ninyingi sana kuliko bajeti brooooo
2026-09-10 16:27:33
243
B boe KE 254🇰🇪 :
we live one's 🙌🏽 tukiondoka haturudi...kula maisha weeeeeeee!!!!🥂🍻🍾
2026-09-10 18:52:27
6
Leonard Pius :
daah mwanangu kwenye kula maisha upo vizuri
2026-09-10 17:25:21
41
🤑emmah🤑 :
apo kwenye kura maisha
2026-09-10 18:36:00
46
getruda :
mmh mume wangu mbona kuhonga kwingi jaman
2026-09-10 18:52:54
30
@isack lamecki :
umetixha san
2026-09-10 11:17:29
3
jeremiah gibe@ Gmail. com :
dar mbona kwene maisha nyingi kuliko sadaka 😁😁
2026-09-10 16:04:36
22
Majorizer Tz :
we live onceé💪
2026-09-10 18:07:28
3
sadicky :
well done boy
2026-09-10 17:07:18
2
zahara abdi74 :
Bora ww unaekumbuka wazazi na sadaka mashallah
2026-09-10 19:35:15
14
Mlevi Mwenye Busara 🤓 :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
2026-09-10 22:26:14
9
Boy Care CNB :
hiyo bajet nd akib au maana sijaelewa
2026-09-10 17:10:43
8
/@rusneshirish :
umetisha sana kwenye kula maisha hapo😂😂😂😂😃😃😃
2026-09-10 18:41:24
13
Blessing stiylist :
this is life 👆
2026-09-10 19:09:58
1
Kelvin Paul :
bro code
2026-09-10 17:24:40
2
king k45 :
acha 2 nikufollw
2026-09-10 17:28:20
5
Mr Festus :
Siku ya mshahara haikosi vituko 😁😁😁
2026-09-10 18:30:11
7
eliachacha219 :
umenifurahisha brother mpaka nimekufollow
2026-09-10 17:30:23
5
user91472194885 :
hesabuzako kama zangu
2026-09-10 15:52:30
7
Apolinalis :
Umetisha ila hapo kwenye kuhonga ndo umefili mkuu siku hizi tunasongeasha hatuhongi 😂😂😂😂😂😂
2026-09-10 17:48:14
12
tiktok.com/@ochu936 :
hahahhaha
2026-09-10 18:10:32
2
osman :
ila kula maisha
2026-09-10 17:55:26
3
vissenzo veganzO :
kulamaisha .....😁😁
2026-09-10 19:33:45
1
veronika :
kaaaaaaaaaah
2026-09-10 18:49:16
1
user7842818babazuchu :
asante sana
2026-09-10 19:22:59
1
To see more videos from user @user4636781909278, please go to the Tikwm
homepage.