@lilianmwakalinga16: Imanuel mna nini lakn dah😭#fry #creatorsearchinsights #tiktok

Lilly❤️
Lilly❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 11:17:05 GMT
15939
283
63
24

Music

Download

Comments

ms.rahma76
BINTI WA MAMA❤✨🦋 :
naomb nikupee ushaur usipost namb ya ba mpenz hadharan hivyo mafisadi ni weng mtandaon watachukua namb hio pls msinifokee utakavyo kuja ndo ntakavyo kupokea wana comment section
2026-09-09 12:37:26
14
misspinky191
The girl alone 🥹 🥷 :
Mbona hapatikani ndo namba yake hiyo kweli
2026-09-09 14:18:46
3
wtty28
🖤 :
asante kwa kutupa namba ngoja tumtafute🙏🙏🙏🙏
2026-09-09 12:37:40
2
tunda0174
~TUNDA~💕🌸 :
Jmn jn la baba angu aliandkw ivo daah😪😂s ni Emmanuel
2026-09-09 13:45:00
0
lee799951
lee❤️ :
Mbn no haijua 😂😂
2026-09-09 13:42:40
0
veri.pie
veri pie💯 :
imagine me namblock alf nafta namba yake ila kichwani inasoma
2026-09-09 12:37:31
1
user6170314992617
wendy💗 :
nishaiba namb mm utanisamehe😂😂😂😂
2026-09-09 18:00:50
0
debbiethoby
💜🍒pretty cherry 🍒💜 :
Wenzio huwa wanaficha namba
2026-09-09 14:03:22
0
jacq554
Jack. Delilah 🥰 :
Emmanuli hatakiw kupendwa kipenz
2026-09-09 13:57:52
0
jey_low93
Jey Low :
kila nikiona emmanuel matendo wake kwa binadamu....anazidi kunipa maswali je yule wa kweny Bible ni nani....?
2026-09-09 13:50:04
2
monica.domisiana
Monica Domisiana :
Aipo WhatsApp 😫
2026-09-09 19:59:07
0
reigncom04
Gynah...🫧 :
Poleee wew ni mgeni na kina Emma 😅
2026-09-09 18:40:55
0
itsre53
It’s me :
Huyu ni mimi kbsaaa😂😂
2026-09-09 17:57:11
0
kayhatun7
🦋kayhatun🦋 :
nyumba moja kitanda kimoja na sijamsave walahii
2026-09-09 19:10:48
0
lilymkoyi
🦋LILLY❤️🦋 :
Wajina usijali iko unachokifanya mim nimekifanya mchana wa leo✅📌
2026-09-09 19:12:50
0
dan.mk0252
wise man :
hapa kesi ishakuwa ngumu kinoma noma
2026-09-09 18:05:30
0
mama.g5730
🦋 Janeth Izack❤️🦋 :
ila namba 😁😁
2026-09-09 13:26:13
0
tee_rhouky
🍂_Tc_Me_💕🌹 :
😅😅 kidogo nichukue namba nilivyoona n Emma nkaacha sitakii mlipuko wa moyo 🤣
2026-09-09 17:47:19
0
pipii813
Candy🍭 :
Ila baba p😂😂
2026-09-09 20:35:34
0
ridmaaa8
Ridmaaa🌹 :
ngoja nipite na no😅😅
2026-09-09 20:24:20
0
zahcute8146
Zahcute814🇹🇿 :
Baaaaaaas kama n imanuel 🙌
2026-09-09 17:45:29
0
bmartha2
Kim -Martha💕 :
Mbona no kama ya baba yangu jamani
2026-09-09 19:21:00
0
chimomy78225
DA TIFFANY ❤️‍🩹🦋🦋 :
asante kwa namba zake🥰🥰
2026-09-09 14:30:20
0
To see more videos from user @lilianmwakalinga16, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About