@steintv_tz: Je, nini kiliiangusha Stein Warriors dhidi ya Dar City? Mdau wa timu hiyo, Treva, anachambua kila kilichotokea uwanjani kuanzia mbinu, makosa ya wachezaji hadi nafasi zilizopotezwa huku akishangazwa na matokeo ya kota ya kwanza. Sikiliza uchambuzi wake na utoe maoni yako, je, Stein Warriors watarejea kwa nguvu kwenye michezo ijayo ya Playoffs? #steintv_tz #steinWarriors

stein Tv
stein Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 11:26:14 GMT
145
20
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @steintv_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About