@mwanga_wa_kristu_media: ✝️ “NILIJIUNGA KUWA MKAPUCHINI RASMI TANGU MWAKA 1991, MAHENGE NDIPO NILIWEKA NADHIRI ZANGU ZA KWANZA.” — ASKOFU WOLFGANG PISA 🙏🕊️ ⛪ Askofu Wolfgang Pisa akisimulia safari yake ya wito wa maisha ya kitawa, akieleza namna alivyojiunga rasmi na maisha ya Kikapuchini tangu mwaka 1991 na baadaye kuweka nadhiri zake za kwanza huko Mahenge. 🙏 Wito wa Mungu ni safari ya imani inayohitaji moyo wa kujitoa, uvumilivu, unyenyekevu na uaminifu kwa Mungu. Maisha ya kitawa ni mwito wa kumfuata Kristo kwa moyo wote na kulitumikia Kanisa na watu wake. ❤️ Mungu awabariki wote wanaoitikia wito wa maisha ya kitawa na kuwapa neema ya kuwa waaminifu katika utume wao. Tunaeneza Nuru ya Kristo kwa Dunia nzima. 📲 Tufuatilie kwenye mitandao yetu yote: @mwanga_wa_kristu_media YouTube | Facebook | Instagram | TikTok #MwangaWaKristuMedia #LightOfChrist #AskofuWolfgangPisa #WolfgangPisa #Kikapuchini #Wito #MaishaYaKitawa #Nadhiri #Mahenge #KanisaKatoliki #ImaniKatoliki #Katoliki #YesuKristo #Huduma #Utume #WitoWaMungu #MaishaYaKikristo #Sala #NenoLaMungu #Kristo