@_officialseba255:

Officialseba255
Officialseba255
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 11:35:31 GMT
70991
5423
166
148

Music

Download

Comments

zabibu_tz
BIBU💜💜 :
club team haiipi point team ya taifa
2026-09-09 20:01:11
0
userrobbe124
robbe :
fact in dep see
2026-09-10 07:28:44
0
mogan.king
Msambur Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
sound kila day😂😂
2026-09-09 18:27:57
0
siri.huseini
Siri Huseini :
Wachache saana watamuelewa huyu mzee baba ila wengine watabak kubeza tu
2026-09-09 13:21:14
71
andrea.michael69
@Chinua_Achebe_AndreaTz🇹🇿 :
swali la msingi hapo ni kwamba hao Simba awashiriki champions league?
2026-09-09 13:08:31
20
andongwisie
lusajo :
very truuuuuu
2026-09-09 13:37:25
0
mbuyu.july.29
𝕄𝕓𝕦𝕪𝕦 𝕁𝕦𝕝𝕪 𝟚𝟡 :
Point of correction, hapo sio Timu ya Taifa ila ni ligi ya Tanzania
2026-09-09 12:38:49
15
pastore079
Yasir arafat :
Sasa Hersi ni rais wa TTF ama ni rais wa yangu nashindwa kuwaelewa
2026-09-09 17:08:31
4
eddy_skillz116
EDDY _116B_ skillz :
Simba inaporomoka yenyewe jmn yanga haihusiki na maendeleo ya club ya simba: tatizo ilo: mnasahau kwamba YANGA ndo timu yakwanza kuleta Fainali ya CAF CONFEDERATION CUP nina imani kizazi ata hiki kinacho ilaumu yanga ndo ilikuw mala ya kwanza kushudia hilo:
2026-09-09 18:44:30
3
johnkapallo
John Kapallo45 :
kweli kabisa Simba ndo wa kwanza kuvaa viatu vya kuchezea
2026-09-09 20:09:03
1
user9414191146845
Dev ☠️ :
Ila mashabiki wa Simba bwana nashindwa kuelewa 😂😂 tuliwashusha siku ambayo walikula zile goli tano
2026-09-10 08:18:18
1
ngusa.juda
Ngusa juda :
shida Ni kununua Marefa jamani
2026-09-09 19:25:17
3
otto.deus3
Ndetiko joely :
sasa injinia anausikaje hapo kwenye timu ya taifa?
2026-09-09 14:11:52
3
makelege1
makelege :
nasimba ndio Tim ya kwanza kufungwa goli 9 na yanga
2026-09-09 19:04:27
2
kellyath4
kellyath :
mm hta sielewi kbsaa vitu vinaendaje
2026-09-09 18:24:06
1
chibudeeee
chibu de :
Mzee anatoa point sana🔥🔥🔥
2026-09-09 16:59:48
1
b.matunda.tiktok
B MATUNDA :
wana Simba tujuane
2026-09-09 18:23:04
1
kinjunga_dr
kinjunga_dr :
ila bongo kila mtu mchambuzi
2026-09-09 19:05:00
1
poverty.peace
Poverty Peace :
hahaha upo sawa
2026-09-09 12:12:49
1
kidali.officials
kidali officials :
kweli kasa
2026-09-09 12:06:11
1
emmanuel46221
Emmanuel :
asilimia 70 point kabisaaaa
2026-09-09 15:02:18
4
fredrickshimbi203
Shimbi fredrick :
Kweli kabisa Mzee
2026-09-09 13:11:08
2
del_love260
del_love26 :
baba una neno🙌🙌🙌🙌🙌🙌jamaaaa Wana fitinaaa sna
2026-09-09 13:54:49
1
mr.cash228
mr cash :
Mzee ligi nasio timu ya taifa lakini ililigi ipande au ibaki pale pale inategemeana performance ya timu zake kimataifa kwaiyo kushuka kwaligi zilaumiwe timu zote hivi Hamna sehemu ya voice nimalizie mana ninamengi😏
2026-09-09 14:43:18
2
usermoroma4n9
usermoroma4n9 :
mzee haelewi ktu kipindi simba ni mtawala timu haijawahi ingia hata makundi ya afkon ukiacha afkon fainali za shirikisho zote ni Kwa utawalabwa nan ?
2026-09-09 13:26:28
1
To see more videos from user @_officialseba255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About