@islamicswahilinet: EWE ALLAH TUNAKUOMBA UTUEPUSHE NA ADHABU KALI YA KABURI Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 11:38:16 GMT
Music
Download
Comments
SFABH :
😭😭😭nimemkumbuka snaaa baba yangu. Allah amtangamanishe na wja wake wema,amuangazie muangaza katika Qabr lake
2026-09-09 14:35:54
34
Anziza Momade Natiquia Momade :
Amin Amin Amin Amin Amin Amin
2026-09-09 14:47:10
13
Sadlinah 👸🏿 :
hii siku ngumu 😭😭😭Allah atujaalie mwish mwem
2026-09-09 12:44:21
78
Single life 🩷 :
ameen y rabby 🤲 ameen
2026-09-09 19:37:54
1
ramlakassim5 :
Ameen thummah ameen 🤲
2026-09-09 14:59:36
3
Muhammed omar :
Allahumma Amin thumma Ameeen yaa Rabby 😭😭😭😭😭😭😭 mungu tupe mwisho mwema inshallah
2026-09-09 18:15:29
11
user7052775181686 :
Ameen ya Rabbii 🙏
2026-09-09 17:38:53
2
Mamy raa :
amiin allh atufanyie mwisho mwema
2026-09-09 14:39:55
6
Amaira :
Ameen thumma Ameen 🤲🤲🤲🤲😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-09 13:43:59
1
Fatma Suleiman :
Ameen Ameen Ameen Ameen
2026-09-09 14:40:32
7
zainaby :
amiin amiin amiin amiin amiin amiin amiin amiin amiin amiin amiin yarabi
2026-09-09 13:44:44
2
Omari Dagger :
aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin aamiin ya Allah
2026-09-09 17:44:32
5
user9575840701203 :
Ameen yarrabi🤲
2026-09-09 14:24:19
2
ma ndevu 0g💖 :
amin amin amin
2026-09-09 18:37:25
0
BODY GLOW&DETOX :
Amiiiiiiin siku ngumu nzito sana kwa mja hii 🤲🤲🤲ALLAH tujaalie mwisho mwema Ya Rabb
2026-09-09 14:21:01
8
Steps of Africa Safaris :
Amin Yarabb
2026-09-09 14:21:25
4
Minah Dutch Day :
Allah atujalie mwisho mwema🤲😭🥺nimemkumbuka Bibi yangu Allah ampe pepu 🤲amsamehe pale alipo kosea kujuwa na kutokujuwa😭🤲
2026-09-09 17:54:18
5
Aziza Hamad :
amiin amiin amiin😊
2026-09-09 12:44:14
4
MD Raju Islam :
Amin Amin Amin
2026-09-09 14:21:17
1
user9790934811230 bate :
Amen
2026-09-09 12:26:54
3
mmmm :
amiin yarabby
2026-09-09 14:28:57
1
Mwanaisha Omari :
[Sticker] Amiin
2026-09-09 14:27:58
1
MUDI IRIS 110 ❣️ :
amin thumma amin
2026-09-09 14:23:08
1
Ramadhani shabani mnoma :
Amiiii amiiii amiiii amiiiii
2026-09-09 14:51:32
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.