@kanikibrown: Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally, amesema Sheria ya Kiislamu haimzuii mwanamke aliyefiwa na mumewe kuendelea na shughuli au majukumu muhimu yanayomhitaji yeye mwenyewe wakati akiwa katika kipindi cha eda. Amesema hilo linawezekana iwapo hakuna mtu mwingine anayeweza kutekeleza majukumu hayo kwa niaba yake, huku mwanamke huyo akizingatia masharti na taratibu zilizowekwa na Sheria ya Kiislamu kuhusu kipindi cha eda. Akitoa mfano wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye amefiwa na mumewe, Mufti Zubeir amesema Rais anaweza kuendelea kutekeleza majukumu ya kitaifa ambayo yanamhitaji yeye mwenyewe. Mufti Zubeir ameyasema hayo leo, Jumatano, Septemba 9, 2026, katika Makao Makuu ya Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA). 🔴Ukiwa na HABARI MPIGIE RIPOTA 0622732287 RIPOTA WA HABARI ZA MIKOANI ✍ @kaniki_brown #Ripotawahabarizamikoani #kanikibrown #WeweNiFamilia

Kaniki Brown
Kaniki Brown
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 11:43:04 GMT
53490
1194
99
86

Music

Download

Comments

ajiasalim
Ajia :
Huku tuendeapo wallah tuamin maandiko tu na sio hawa binadam tutachomwa moto ee mwenyez mungu atuepushe🙌🙌🙌🙌ndio nasikia leo kumbe eda ipo matabaka wengine wanakaa na wengine hawakai
2026-09-09 13:01:33
6
halima00144
Halima kisuda :
hakuna sehemu imeandikwa mwenye majukumu asikae eda, eda ni lazima akae mwanamke hata sisi tumesoma dini ila hii haijakaa sawa Kama kuna sehemu ya mafunzo yake yanasema hivyo Sawa, ila uisilamu haundi hivyo eda ni lazima jamn
2026-09-09 13:20:36
11
abuusalummhafigwa8
Abuu salum Mhafigwa. :
Mimi nasoma communits2
2026-09-09 14:04:01
1
suditafer
Sudi Tafer :
huwezi kutudanganya namba hiyo
2026-09-09 12:41:20
7
smartlife.electronicstz
SmartLife Electronics Tanzania :
Elezea EDA ni nn...na inakuwaje
2026-09-09 13:39:14
1
user3181592406775
Gabo :
mmmmh???? Allah tuongoze katk njia iliyo nyooka na wasamehe mashekh zetu kwan nao ni binadam wanakosea
2026-09-09 13:41:30
1
akidaamiri
The king :
innalillah wainna illah rajiun
2026-09-09 13:37:21
1
user9774884868167
mkatu abdllah :
mbon una ongopea wat
2026-09-09 13:33:35
1
mwinyimwaya
The Great prince Mwaya :
eda ni nini na sababu za kukaa eda ni nini? (akifiwa sio alikifelewa)
2026-09-09 13:54:53
0
shehekisenge0
Shehe Kisenge :
nilijuwa tu sheria lazma ipindishwe nakufuata vyeo
2026-09-09 14:24:13
1
user4230637184663
Lipa :
ukimsikiliza mufti vzr maneno yake mwishon hayajanyooka
2026-09-09 14:51:03
0
sasema1978
David mangilile 🇰🇪 :
mtumeeee pesa zetu
2026-09-09 13:16:21
2
haridi.zuberi1
BABU :
eeeeh mungu sikia hii alafu fanyia kazi kwa uwezo wako
2026-09-09 13:05:07
1
user5776911790675
user5776911790675 :
Lazima muta tafutiya njia.
2026-09-09 16:26:44
0
useribrahek
Ibrahem Emanuel :
mh
2026-09-09 17:04:20
0
bodylanguage32
#14n2RE :
...Allah Akbar....subhannah Allah....Allah niepeshe Moto.
2026-09-09 13:11:23
1
danielogunda
danielogunda :
Kwenye ukatoliki hatupindishi kitu
2026-09-09 15:55:09
0
mshaghasho_
Imam mahdy (atfs) :
2026-09-09 12:08:18
0
user70053150138163
mkavu mkavu :
subuhana llah
2026-09-09 15:00:48
0
baba.nillam.og
Baba Nillam OG :
kwani rais kuwa na wasaidizi maana yk nn izo shughul za kitaifa ataenda makamo wake au waziri mkuu tatizo asaivi dini zetu zimekua za siasa
2026-09-09 15:24:15
0
barakaelias4510
Baraka Elias :
yaani kanuni ya kiislam inavunzika wakati wowote ule mambo gani aha
2026-09-09 15:29:20
0
user6826265497380
musajamini :
kwani huyu anaeongea ninani samahani lakin
2026-09-09 16:15:39
0
hassan.kipoozeo
حسن علي :
fact
2026-09-09 15:31:01
0
rashidi.fusi
Rashidi Fusi :
nimesikiliza nikaja kwenye comment nimekuta kimya najua sio kama hawapo ila hapa kuna kaa la moto nitarudi kesho kuja kusoma najua mtakuja tu
2026-09-09 12:36:46
0
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About