@shebyranco: Wengi wao mashuhuda wa tukio hili wamesikika wakisema au wakidhani kwamba wenda ni adhabu za kaburini ambazo tunaambiwaga na vitabu vya dini,ndo huyo kakutana nayo mpaka watu kuona ivo
Allah tujalie mwisho mwema 🤲 mm na wee unae soma hii comments na ukasema ameen inshallah 🤲 atupuguzie azabu ya kaburi atupe kitabu kwa mkono wa kulia na tuwe pamoja na chumwa 🤲🙏
2026-09-09 14:26:25
613
calp nation :
bwana yesu asifiwe
2026-09-09 14:59:09
134
mama BENSON :
mungu tujalie mwisho mwema wote hapa dunian
2026-09-09 16:16:47
57
SCJ :
jamani tusomeee[Tears of joy]
2026-09-09 17:31:48
2
Cherry black :
May Allah give us good katima
2026-09-09 19:07:04
0
sasha heena point :
subhanallah allah atusamehe ya Allha
2026-09-09 13:36:34
77
Jay ha 🧠💎📿 :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-09 19:03:44
11
Hawaa :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-09 17:42:02
12
l@stborn💦🙋♀️ :
😭subhanallah🥺 Allah atusameh😭
2026-09-09 13:08:16
56
THE _GOLDEN CRUMBS 🎀🍰🥐🍩🥀 :
subhanallah mungu atupe mwisho mwema yarabb 🥹
2026-09-09 19:10:52
9
Hashim ✨️10🇹🇿 :
eeeh mola mwangu nakuomba nisameme mimi na mama yangu na wengine walio tangulia utuepushe na adhabu ya kaburin twakuomba mola wetu 🙏🤲
2026-09-09 13:55:07
56
💝zaynlly💫💥 :
allah a2samehe madambi ye2
2026-09-09 14:50:31
1
Mwana Yassin :
subhanna Allah mungu 2pe mwisho mwema
2026-09-09 13:56:09
1
da yuu🥀 :
Yaa allah bi husnil haatimah
2026-09-09 14:03:28
2
Missing my mum :
Nitaingia kwenye ndoa na umauti hautanipata kwa jina la yesu
2026-09-09 19:19:04
5
mamy rey 🥰 :
Allah atupe mwisho mwema atusamehe madhambi yetu ya siri na ya dhahir Amin 🥺🥺
2026-09-09 15:03:27
10
mamy :
subhanna llah😥😥
2026-09-09 14:38:41
0
SHEYMAH & Home taste food 🥘 :
Kwahy waliacha tobo kidog ili waone atapewa adhabu gani c ndy 🥹
2026-09-09 15:23:15
19
ryam_closet :
Hii picha imenifanya nisimame na kufikiria sana… 😔🔥 Kuna mambo duniani tunayaona kwa macho lakini mioyo yetu inashindwa kuyaelezea Kama kweli moto huu unaonekana ndani ya kaburi baada ya mtu kuzikwa basi inatisha sana kufikiria kwamba maisha yetu ya hapa duniani yana mwisho na kila mmoja wetu siku moja atafika mahali ambapo mali pesa umaarufu na kila tunachokimbizana nacho havitakuwa na maana tena Tunahangaika sana kutafuta dunia tunagombana tunachukiana tunavunjana mioyo na wakati mwingine tunawasahau hata wale wanaotupenda… lakini mwisho wa yote kila mmoja ataondoka na ataacha kila kitu nyuma 😢
MUNGU ATUHURUMIE SISI SOTE ATUSAMEHE MAKOSA YETU NA MWISHO WETU UWE WA KHERI 🤲🏽
2026-09-09 15:11:35
181
Kaizer king1494 :
baada ya kuacha mwili tunakuwa na uwezo mkubwa sana wa kutengeneza reality ya kitu chochote.. kwahy kama uliishi kwa kuamini kwamba Kuna moto na pepo then utajijengea uwoga unapokua duniani na hayo ndio matokeo yake..kwahy msiishi kwa kuamini kwamba Kuna moto coz ni vitu ambavyo tumelishwa toka tukiwa watoto wadogo.. na je zisingekuw dini tungeamini nini..???
2026-09-09 15:48:41
7
hawaa Tunje :
subhannallah ya Allah tujalie mwisho mwema 😭
2026-09-09 14:20:37
7
ulu sultan :
khusnal khatima yaa rabby
2026-09-09 16:26:28
7
ROUHY ❤️🩹 :
Allah amsamehakosa yke 🤲🥺
2026-09-09 13:18:19
7
★S/I/D★ ★PERFECT★LABAN :
SISI TUNAJION TUNA MADHAMBI MAKUBWA HAPA TZ ILA KUMBE KUNA WATU WANAMADHAMBI MAKUBWA MPAKA MUNGU ANAMUADHIBU HAPA HAPA DUNIANI DAH,MTIHANI MKUBWA HUU.TUMCHE ALLAH TUPATE KUSALIMIKA DUNIA NI MAPITO NDUGU ZANG🥹✍️
2026-09-09 14:21:42
14
user419618404034 :
ya Allah tujaalie mwisho mwema tukiondoka duniani uwe ni mwenye kuturidhia
2026-09-09 14:14:23
6
To see more videos from user @shebyranco, please go to the Tikwm
homepage.