@zouiurembo: 🌸 NEW STOCK — HERENI MAUA 🌸 Hereni za maua zenye muonekano wa kipekee na kuvutia sana. Ni nyepesi kabisa masikioni, hazikusumbui unapozivaa na zinafaa kwa matumizi ya kila siku. Zipo katika design nyingi na rangi mbalimbali, hivyo una nafasi kubwa ya kuchagua inayokufaa. Ni nzuri kwa matumizi binafsi, zawadi, na pia ni bidhaa nzuri sana kwa wanaoanza au wanaoendeleza biashara ya accessories. Jumla: TSh 3,500/= kuanzia PC 6 Moja: TSh 5,000/= 📲 ORDER: 0650611801 📍 Congo Stand, Kariakoo 🚚 Delivery inapatikana ndani na nje ya Dar es Salaam. Usisubiri mpaka design unayoipenda iishe — oda yako mapema! #ZOUIUREMBO #HereniMaua #NewStock #Hereni #Jumla