@nanga.the.don7:

user99927458093
user99927458093
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 12:58:17 GMT
6621
494
35
9

Music

Download

Comments

muunguja.ngareba
Muunguja Ngareba :
huyu mama kama so wakusini sijui mashallah jamaniii[Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-10 07:29:46
1
arafatyhega
Arafaty Hega :
huyu mama htr kak daah
2026-09-10 06:02:37
3
sophiao428
sophia omari89 :
mi ntakuja jamani ninashida na majini
2026-09-09 16:21:10
0
brother.men62
👑KING CAPRICORN 👑 :
zikir za hivi nazipendaga sanaaaaa unashangaa machozi yanakutoka
2026-09-09 13:28:10
0
hamad.nguchure
Hamad Nguchure :
mashallah
2026-09-09 23:09:22
1
munaally20
Shania's mom :
Mama yuko vizur mbaka nasisimka Maa sha allah
2026-09-11 13:45:16
0
zakh.hk
zakh hk :
jmn huyu mama anaimba kama mama angu naskia at kulia 🥹🥹
2026-09-10 20:47:02
0
fetyminyodo1
fetyminyodo :
mama apewe mauwa wake maana anajua sana
2026-09-09 17:13:03
1
a753890
a :
mashallaha mashallaha mashallaha mungu Akulinde
2026-09-10 12:26:59
0
favour86902
Favour 💕💞 :
yaan mm ndio ugonjwa wangu huu wallah ... kama nikienda mazishini natafuta wanaokoimba Ivo nakaa....napenda sana🥰🥰
2026-09-11 11:20:11
0
mohamediiddi445
GUPA RIMS AND TIRES :
huyo mama anaeimbisha mungu amuingize peponi hata kwa rivers mashaallah ananipa raha na sauti yake
2026-09-11 06:46:46
0
bizackin43
BI,,ZACKINA 💥♥️👌👌 :
uyu mam ni balaaaaa. ghaaaaa
2026-09-09 20:38:53
0
tunutz14
Halima Ramadhani :
yaani mm nasikiaga raha tuu moyoni
2026-09-09 18:25:55
0
faidhaty90
faidha❤️ :
mashaallah
2026-09-10 05:34:58
0
mrishopambakali
mrishopambakali :
mashallah 🙏🙏
2026-09-11 08:44:26
0
chaborry3
Chaborry❤️ :
Nikisikiaga dhikir kifua Kinanijaa balaaa
2026-09-09 19:16:09
0
wasaficlassic818
T BOY MSAFI :
uyuu mama namualika tanga kwenye ngoma yng ya mpungo nita mpata kaka maana naanza na zikri yuko vzr mnoo tanga kaka tambarani ukuu
2026-09-11 06:48:30
0
hassankipanga1
Hassan kipanga :
mm napata tabu selewi hii dhikr ya shekhe Abdul kadr Kwa nn wamechanganika wake Kwa waume
2026-09-10 03:05:32
0
karimumoshi0
karimu Khani :
Mashaallah
2026-09-11 16:50:59
0
user66522232137664
@office_tiffah :
hadi raha
2026-09-09 16:49:04
0
hamisi.huseni7
KAPENGO BOY [07] :
Marshall mama mwenyezimungu akuzidishie ck zakuish dunian
2026-09-11 14:23:04
0
fickminaj
fick minaj :
mamb ya kusini hayo
2026-09-09 17:13:59
0
bigcc100
bigcc :
uyo alokaa chini ni nan sasa
2026-09-10 21:42:25
0
bigcc100
bigcc :
hivi mtu unskuwaje n majin na kwann uwe nayo
2026-09-10 21:47:40
0
user77061027066912
user77061027066912 :
pakalaa
2026-09-09 13:07:26
0
To see more videos from user @nanga.the.don7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About