@stephen.chalira: Kuna kitu

Stephen Chalira
Stephen Chalira
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 13:01:06 GMT
75870
5009
694
1552

Music

Download

Comments

christinaseleman28
Tinna🦋🦋 :
Kuna wale wanaongea na cm kwa saut km yup kwake 😁😁
2026-09-10 08:55:06
410
chubbyones45
Empress dee💕 :
mwengn unamwacha asubui anatok nje anaanz kupig story na majiran🤣🤣🤣
2026-09-10 13:15:19
91
user73131001998720
mom mina 💦💦 :
kwan wanaume hawapo mbn siwaon hum[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-10 10:19:04
1
mwanaisha.ally01
aisha :
nilivusha mtu usiku asubuh naondoka namuamsha mi naenda kazn ananijibu we niache utanikuta sijui alitaka nimuoe🤣🤣
2026-09-09 21:18:11
254
sophiaramadhan448
sophia ♍️ :
etii[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-10 15:18:04
0
asmaamaulid200
Asmaa Maulid 98% :
afu kuna hawa wengine hawatakagi kuondoka mpaka unalifukuza
2026-09-10 05:56:14
148
msudani_in_tanzania
Msudani🧸💞🦋 :
Alafu wana kelele sana wapunguze😂
2026-09-09 20:37:38
151
salomeisaya
chaome :
geto lang sivush mvulanaa aje bila kuniambia sitakii😂😂
2026-09-09 17:41:12
56
tom7___
tom7___ :
😂 univushr wap
2026-09-10 16:08:09
0
bintmwinyi
UMMY AYRA......🌺 :
na wanashika remote kama analipia nextflix😂😂😂
2026-09-09 20:51:45
43
ummy.fahad
🌸Ummy fahad🌸 :
Na kwanini Lina unga Bluetooth linanipigia hipap kwa nguvu na linaimba mamaae 😂
2026-09-10 15:00:08
21
sylmplepeac3
Symplypeace🇹🇿🇧🇭 :
Na waamke mapema kuondoka ni sa 11 na hawatakiwi kuonekana na mtu yeyote
2026-09-10 12:22:26
32
amina.nawab7
Emmy🦋 :
Kwangu kinachoruhusiwa kuja ni umeme na maji tuu
2026-09-10 13:13:03
23
aimsalha
TOTO🍏 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]nachoka mm
2026-09-10 07:32:59
2
mziwandashai
Mishi♈ :
Nilivusha binamu yangu asubuh namwambia tuondoke me naenda kazn kanambia niache siamkagi mida hii mimi basi nipo kazn napigiwa Sim na Jirn yangu uyu ndio shemeji wamemuona anaenda kuoga na mswaki kanunua duka la Jirn jaman niliishishiwa nguvu🤣🤣🥰
2026-09-10 16:01:07
6
divano225
#divano :
ila mi nae kama nimezidisha mana navusha kila siku na sina type na siludii nabadili kila siku majilani wakiniona tu utaskia leo mwingine sheria lazima aingie na viatu na akuna kupiga kelele[Tears of joy]
2026-09-10 11:33:23
5
rj99278
Mom heaven🦋 :
na kuna wale akifika anakimbilia friji akikuta bia anakunywa zot
2026-09-10 12:57:34
8
heroine953
Heroine :
Hii imeanza lini ten mbn sijui😳😳😳😂😂
2026-09-10 12:09:16
23
dorry0166
dorry01🫆 :
Mi wangu anajitaid kuingia na viatu ndan 😂🥰
2026-09-09 20:48:34
48
user94246123475220
hanipha cute :
wangu akifika ndani anaanzaa kuongea na simu na rafiki zake nachokaa
2026-09-10 10:40:12
11
mamayusq
Zuri 🧚🏻‍♀️🦋 :
Mwingne anacheka kwa saut alaf anajisahau
2026-09-10 11:59:41
7
pendojeremiah57
graca :
Kuna mmoja nlimvusha ghafla akaanza kujifanya kama ndo baba mwenyew nyumba et akaanz kuniambia naomba nipikie mke wangu kheee!😳 Nlitak nimtukane nivile nlikuwa na mhemko tu nkajifanya nmechoka😂😂😂
2026-09-10 13:20:25
9
To see more videos from user @stephen.chalira, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About