@itscarlue: Hanscana anasema, moja kati ya nidhamu zitakazofanya utunze pesa ni kuondoa fikra kichwani kuwa na kesho utapata tena. - 🎙| @hanscana_ - Credits | @msasapodcast - #itscarlue #foryoupage #msasapodcast #lifestylechange #fypジviral
Nikwel kabisa nilazima tuwena nidhamu ya PESA usipokuwanayo utaishia kujutia
2026-09-11 06:58:59
1
chuma :
prof hanscana👊👊
2026-09-12 14:37:55
0
Mohammed Omar :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
2026-09-11 15:02:36
0
captain Mandonga :
hii kauli itaiuza kesho yako,vip siku ukipata hasara?
2026-09-09 20:07:23
1
Habibu🦅🐐 :
🙏🙏🙏
2026-09-09 19:54:45
1
To see more videos from user @itscarlue, please go to the Tikwm
homepage.