@rosefit7: Madhara ya mwili mkubwa ❤️ Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu 🩸 Kisukari aina ya 2 🦴 Maumivu ya magoti, mgongo na viungo 😴 Kukoroma na matatizo ya kupumua wakati wa usingizi 🫁 Kupumua kwa shida, hasa wakati wa kufanya shughuli 🧠 Kuongezeka kwa hatari ya kiharusi 🧬 Mafuta mengi kwenye ini 🦵 Kuchoka haraka na kupungua kwa uwezo wa kufanya shughuli za mwili

Rose Health Solutions
Rose Health Solutions
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 13:10:50 GMT
143
2
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @rosefit7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About