@smpmedia1: Every challenge comes with a test. Be careful how you respond to the challenge may determine whether you pass the test. Every blessing comes with a responsibility. Be careful how you handle the blessing may determine whether it remains a blessing. Kila mtihani huja na changamoto, na kila changamoto hubeba mtihani wake. Kuwa makini namna unavyokabiliana na changamoto ndiyo inaweza kuamua kama umeufaulu mtihani huo. Kila baraka huja na jukumu. Kuwa makini namna unavyoitumia na kuitunza baraka hiyo inaweza kuamua kama itaendelea kuwa baraka katika maisha yako. #LifeLessons #Challenges #Blessings #Mindset #Wisdom