🥰🥰😭😭😭 one of my desire thank you my Lord for those who's did the same like my heart needed..
2026-09-11 02:20:03
1
being_eddy :
U make me cry 😭 but God protect you 🥹🥹🙏🙏
2026-09-10 10:07:14
7
boss mama :
sjui ata nalia nn ila iko siku mwenyez mungu atanipa na mm kipawa cha kusaidia watu weny uitaji inshallah
2026-09-09 14:55:49
537
Mick 4ne fixer📲💰 :
stii neno 🫡🫡🫡🫡🫡🙌
2026-09-09 14:20:55
232
levinah5 :
Mungu akubariki sana kwa kweli 🔥🔥🔥
2026-09-09 15:07:46
162
Princess❤️ :
Huyo baba wa tololi amefurahi sana mungu akuongezee ulipotoa
2026-09-09 19:27:05
159
Dady Chris tz :
I know God sees your efforts, my dear, when I was a young man, I wanted to do like you, but I still keep my word to you, my dear. May God bless you for everything you do. Your love, your compassion, and your kindness are appreciated.
2026-09-10 04:26:48
1
Mtulist_🫴🫳 :
dah kutoka moyoni naungana na dua kwa mungu wetu akuinue juu zaid ubalikiwe sana broo🫡🫡
2026-09-09 14:18:01
95
khanafi 🙏🔥🇨🇳🇹🇿 :
nataman nam siku moj niwasaidie weny uhitj km huu
2026-09-10 06:12:17
32
Miss_sadia 😘🤩🥰 :
nalia kwa furah🥹🥹
2026-09-09 14:14:01
31
A.p.m :
🥺 Nina experience na Hii Feeling..
2026-09-10 18:44:37
2
Tilneth @ :
so emotional
2026-09-09 19:44:17
2
👑G~Pound💷 :
Big respect 🙏 kaka🫡
2026-09-09 14:16:53
8
Onana jr :
Mashaallah my brother🫡🫡
2026-09-10 06:50:16
2
mayna :
mungu tutunzie kawanga aiseeee
2026-09-09 14:17:42
15
nurhya kassim :
mungu akujalie kaka
2026-09-09 14:46:10
11
Emoro Sanga :
kawanga,mungu,akuongezee,mika
2026-09-09 14:30:00
11
Jojo :
Nice brother
2026-09-09 14:11:40
5
Toru :
Kaka. nakubari
2026-09-09 14:20:12
6
its real me sumehrah :
Mungu akupe zaidi kaka
2026-09-09 14:51:00
8
𝔊 𝔇𝔞𝔳𝔦𝔡 𝔊𝔦𝔡𝔢𝔬𝔫 :
watu wengi hulaani msaada wakupost ksma hivi,lakin binafsi yangu kupost kunafundisha kwa waliokata tamaa ya maisha kuwa kuna kuinuka tena,lakin kunafundisha namna ya kupata baraka kuipitia utoaji.MUNGU atuumbie mioyo yenye kutoa kwa wenye uhitaji
2026-09-10 09:15:46
44
Magangajr31 :
KATIKA CONTENTS ULIZO WAHI KUFANYA HII NAMBA MOJA. IMENITOA MACHOZI 😭,, MUNGU AKUBARIKI SANA BRO 😎
2026-09-10 12:56:38
22
MiLLie💋 :
Mzigo mzito ungemuitia boda but inatosha lkn Mungu akubarik
2026-09-09 20:30:51
35
Emma classic mpn hotel :
kk umenigusa moyoni mwangu kk mungu akuzishie kk
2026-09-10 07:40:47
28
Tman :
nilizani hii Tabia ninayo Mimi tu huwa ninanua biashara yote ya Hawa wama wanaotembeza biashara kwa lengo la kusaidia sio kama Mimi ni Tajiri ila nafanya kwa Upendo tu na kutoka kama Sadaka kwa Mungu wangu kwa kusaidia wengine.
2026-09-10 08:53:09
53
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm
homepage.