wanatengeneza moja original ambayo aingizi maji nunua wewe jalibu sasa inakufa mazima
2026-09-09 14:50:16
20
milamau :
tuone camera yake jmn😏
2026-09-09 15:15:48
1
Sub_Zero :
simu zote zikiwa mpya hua zina uwezo wa kukaa ndani ya maji chini ya sekunde 30.
2026-09-09 15:50:51
14
CHUGA MDUDU :
mtu kasha pata nambaaa
2026-09-09 15:20:50
7
סטייב.🪫 :
nahitaji kujua hizo simu zinatumia android version ya ngap
2026-09-09 14:00:07
8
Yastajiib sadamu :
hamna kitu hapo
2026-09-09 14:14:26
5
Michi🇰🇷👽 :
Niachie kununuwa Samsung from Korea au aquas from Japan nikanunuwe Raddy from Tanzania nitakuwa nimerongwa au nitakuwa na matatizi ya akili 😂😂😂
2026-09-09 17:06:14
5
Max cocktails 🍸 👌 :
Walete utaratibu kama wa Korea kutumia simu zinazo tengenezwa mchini tu
2026-09-09 15:47:54
3
ASAKE Wa CUoM🇨🇩🇹🇿🇿🇦 :
NI BORA KULIKO INFINIX LAKIN
2026-09-09 14:46:45
8
Ayochriss :
mi nataka kujua hicho kibeseni mmekitoa wapi na mko studio kazini
2026-09-10 06:45:24
0
T-rex :
wabongo tunaweza ila watu wanamentality za utumwa hawaamin jitihda zao anyway tuzid kujiombea
2026-09-10 03:42:26
1
Issan ⚠️ :
Inabid mtuuzie laki moja kwanza sio mkimbilie kwenye laki 700000
2026-09-09 19:42:59
1
jaycomedian 🎬🎞️😂 :
hizi simu tutajiuzia wenyew tusitegemee kuzipeleka worldwide
2026-09-09 19:43:55
0
Issa touch 🎹 :
mwenyewe natumia samsung a56
2026-09-09 19:18:47
0
Mr A.K :
ambao tumeshanunua na tunasema ziko fresh sana tujuane
2026-09-09 16:16:13
2
Baba giann :
sawa tutazama nazo ila badili jina
2026-09-09 16:19:49
0
INNDE :
bei tunatka
2026-09-09 15:00:47
2
abuu Moussa :
raddy janja pro
2026-09-09 14:45:32
3
mode off :
ahh yangu Sony Xperia sov48 nimeitia kwenye maji juzi tu nimeenda kwa fundi kubadilisha mike na mpka saivi ina vibration ovyo 😅😆 na ni water proof 😅😅 acha nitafute raddy bwana
2026-09-09 19:21:31
1
To see more videos from user @raddymobile, please go to the Tikwm
homepage.