eeee mwenyezi mungu walinde watoto wote wanao pitia hii Hali 🙏😭
2026-09-09 19:47:09
1
Massu :
Allahummaamiin
2026-09-10 16:00:27
0
nyatu :
wallah kuna mda had machozi yanitoka kuna wengne wana hela ila hela zao ni kula bata na wanawake hapa dunia huju kuna watu wanateseka hapa dunian namwomba mungu atupe mwisho mwema wa maisha
2026-09-09 15:56:21
2
Elizabeth :
jmn nataman yatima hata mmoja niishi nae jamn wanapitia wakat mgumu sana
2026-09-09 16:09:00
1
Mage cute :
mung atusaidie jmn hali ngumu
2026-09-09 14:14:39
0
Alexandrine kainga 🥰🥰❤️🔥💖 :
mungu nimkubwa
2026-09-09 14:58:35
0
mubahmarioo917 :
kuna watu wanachezea pesa 😔
2026-09-10 06:27:17
0
Neema Kalekez :
ila ata mimi nakulaga mpaka leo wakiwa hai hivohivo,kumbikumbi watamu wanamaziwa hatar
2026-09-09 22:26:51
0
latifaramadhani59 :
Duh,😭😭😭 kwakweli inaumiza sana ewe mwenyez MUNGU hijaalie hii familia