kumbe sio kosa kutongoza [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-09 14:24:41
11
lidyaorestamlowe :
Pumzika kwa Amani baba huku Tabora tumemtongoza mtu na ametutangaza🙌
2026-09-09 16:43:13
18
Aineksha🤎🤎🤎 :
kuna mtu hapo alikuwa anajifanya innocent 😁😁😁😁
2026-09-09 19:24:52
2
Mathayo Maleko :
nadhani mkuu wa mkoa ange ange chukua mfano apaa Kwa raisi wetu
2026-09-09 16:54:41
11
Amani Bonfas :
pumzika Salam babaaaaa
2026-09-09 17:39:47
0
Aziza Mandari :
Mwamba Mungu akupe kauli thabiti
2026-09-09 15:00:10
19
JJ :
MUNGU akupumzishe kwa amani Baba wa taifa
2026-09-09 16:05:06
12
Shop with linah✅ :
nipeni account ya mtu aliyetongozwa nimtag🤭😂
2026-09-09 16:40:04
1
Magagala :
those days daah
2026-09-09 16:03:25
1
Minah :
Yani imefikia hatua sasaivi sitaki kuangalia hizi clip za Magufuli, Sio kwa nia mbaya ila kila nikiangalia naumia Sanaa 😭😭😭😭😭
2026-09-09 19:29:00
3
Jimmy Shoji 8 :
generally
2026-09-09 16:32:55
0
🦋🌸Bint🌺sayuni🦋🌸 :
mhhhh kuna mtu kamshitaki mtu kisa kamtongoza jamani asa nini maana ya uhuru
2026-09-09 17:01:33
4
Nassoro wa mama :
mkuu wamkoa anapenda sifa angalia mzee wetu alivyokua na busala ulazwe pema baba
2026-09-09 18:04:00
3
african giant 🙌🏻 :
Sasa mbona Kuna mwingine kamsweka mtu police
2026-09-09 16:52:27
3
Iron butterfly :
rest in peace Papaah
2026-09-09 15:47:51
1
Miss Irene❤️ :
Naomba mwendelezo tafadhali😂😂nataka nijifunze kuandika barua kupitia huyu mama😂
2026-09-09 15:37:43
4
kapina98! :
huyuu mzee alikuwq mbele ya mda piah akuwq na majivuno mwenyezimungu amulaze mahala pema peponi.
2026-09-09 18:04:33
2
juma issa :
kwa nn umezuia tusiichukue video hoi
2026-09-09 14:23:52
3
Ma heavenlight 🦋🦋 :
🤣🤣 nimecheka sana baba lakini nimekumbuka kuwa haupo nasi mungu akupe pumziko la milele tunakukumbuka kwa ucheshi wako na mazuri Yako hakika ulisema tunakukumbuka ni kweli maneno Yako yanaishi mioyoni yetu😭🙏
2026-09-09 17:21:30
2
bizzy waya :
afu sio mzanzibar uyu😄
2026-09-09 16:51:28
1
naa :
Apo mama samia mwepes ana aman tele sio saiv😅
2026-09-09 17:02:06
1
phiLambi👽 :
C Ndio😂
2026-09-09 14:11:14
2
F Maika :
daaah tutakukumbuka daima baba🙏
2026-09-09 14:43:29
3
Mr samasa 🪖💂 :
mungu mpumuzishe mwamba wetua
2026-09-09 16:53:34
1
To see more videos from user @kadomediatz, please go to the Tikwm
homepage.