@alnufais07: It's true because they have taken everything. ✨

ahmed07
ahmed07
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 13:55:09 GMT
5431
477
37
9

Music

Download

Comments

appleuser93685796
star :
He is another number
2026-09-11 18:16:20
0
rma9835
R. M. A :
maalimu seif alikuona tuna mshukuru sana maalimu hakka ww ndie arithmetic thabit wa maalim
2026-09-10 02:46:04
9
gadafi13224
gadafi :
Sisi zanzibar hatona viongozi tunavibaraka tu wanao simamia maslahi yao tumechoka
2026-09-11 14:46:08
2
user8824283002129
Ismail seafood :
daah hakika huyu ni kiongozi bora
2026-09-10 05:34:49
4
jamal.boy00
jamal boy :
wewe na madini matupu Allah amekupa kipaji kikubwa ila serikali ya doctor imeshindwa kutumia hii lulu vizuri
2026-09-10 03:57:40
3
lilianally22
Nashy king fashion :
hakuna anaekuweza ispokua Allah. 🥰
2026-09-09 22:47:32
1
zanzibar_canada_boy
car :
dah kwanini wazanzibar hatukumpa huyu urais
2026-09-10 17:34:05
0
zansafari.tours
Zansafari.tours :
ya lini hii mkuu
2026-09-11 07:15:24
0
mwanaume319
Mwanaume :
Sisi wenyewe ndo tunajirudisha nyuma kwa ubinafsi. Watanganyika wanadai katiba mpya sisi tunakuja juu eti walikua wapi muda wote au sababu MH.Raisi ni MZanzibar?.Mapumziko ya muda mfupi yana tusaulisha kitakachofuata.
2026-09-10 07:19:06
1
till.one
Till one :
good job muheshimiwa
2026-09-10 02:14:02
0
user8178268841439
Yahya :
Boss unajua mpaka unakera hasa maana unasomesha
2026-09-11 04:57:50
2
user9280200558174
Ali salim :
kiukweli tunakupenda sanaa
2026-09-10 19:53:06
2
user2357510280520
Defao :
pamoja Kiongozi wetu
2026-09-09 18:25:50
2
lildebe07
Lildebe :
Hongera sna kiongozi
2026-09-12 08:48:01
0
tarabeni_
Khalypha :
akili nyingi
2026-09-09 21:19:04
2
user7042268710307
Vampire :
hili jembe Mungu atuekeee
2026-09-10 10:41:39
1
zansafari.tours
Zansafari.tours :
dah jamaa anaongea kwa undani saana yaani unamuhisi mapambano yake yapo wapi Allah akutangulie
2026-09-11 07:17:48
1
.mkonde
Haji mkonde :
uma wa Zanzibari huyu mtu nasema tena huyu ni hazina ambayo angeli ongoza nchi watu hawatotaka aondoke madarakani
2026-09-12 15:25:32
0
till.one
Till one :
Bora ulivowaambia ukweli maana watu walala wengi wa ndo wale wenye mapepo ya aadomia 😁
2026-09-10 01:58:24
0
chalu_dallas
Chalu_Dallas_🏝️ :
@Mr Mtu Kwetu na tumkatae tu kw 7bu y upemb wke....😁 au......
2026-09-10 13:55:32
0
wahd.nasor
wahidi nassor Ali :
😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-10 10:14:12
0
shukumalidoo1
Rajab Dizo :
😂😂😂
2026-09-10 14:49:26
0
phahoud
fahud :
🙏
2026-09-12 13:55:55
0
To see more videos from user @alnufais07, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About