wazee wenu wakizeeka musiwaruhusu waendeshe gar mzee anatokea k/samak na prado old kashazuiliwa asipige u-turn kapiga ivo ivo na msafara unatokea airport,rider kakutana nae kaingia ringi ya nyuma tunaelekea kiz hapo mzee mwenyew presha tupu mwenziwe alompakia kama kapazal muhm hakuna alokufa ila km madereva muwe na subra hasa kipindi kama hiki cha msiba wageni wengi na viongoz wa nchi mbal mbal njia ishasafishwa kweupe kaingiza gar,hapo majumba ya bank k/samak alipo pata ajal yule dogo na pcx iyo junction mbaya sana km pana jini hapamalizi mwez hapo .
2026-09-09 21:50:19
12
Jaku Hassan :
POLICE HONDA
2026-09-09 20:00:18
0
PROFESSOR 255 :
@POLO:Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂
2026-09-09 15:44:20
17
Ismail Ramadhan :
awesome pole
2026-09-09 16:11:55
0
hamily mohds260 :
Wapi iyo wadau
2026-09-09 16:51:35
1
mansourel_jabr8 :
Yupo hai..!?
2026-09-09 16:17:31
5
fod :
barabara ya kwaza kwenda eyapot
2026-09-09 20:36:05
1
Alone :
Kamera ifanye kz yke
2026-09-09 20:16:49
0
IDRIS ALFARIS :
Hii honda leo nimeiyona ilala duuh
2026-09-09 19:07:03
1
user6960547477787 :
heeeeeee
2026-09-09 15:58:54
0
Q_mojo :
Uhhh wanapenda mbio hao watu wa system vingora vinawapa morali sanaaa 🔥🔥🔥🔥
2026-09-09 17:05:50
2
diezel :
iyo wapi kaka
2026-09-09 15:20:42
3
SHAFII :
iyo wap iyo
2026-09-09 19:20:12
0
Mr.heba Outfit's :
safii sana mla rushwa kimemlamba
2026-09-10 05:11:35
1
Ameir Abdalla :
wapi iyo?
2026-09-09 17:02:45
0
Zanjraha Mhammad :
Sia kucheka MUNGU AWAPE SUBRA
2026-09-09 22:50:31
2
user3314946762920 :
oy wapi iyo
2026-09-09 14:22:01
0
f3ynabry_01 :
kumb wasanii wanaona mbali saiv namkumbuka marioo KESHO ISHAKUWA DEEP
2026-09-09 16:27:31
4
chimamyy :
subhana llah
2026-09-09 16:46:11
2
$contraction group.zanzibar :
alimtishia akamwambia lete
2026-09-09 16:02:20
3
Mzee wa shavu :
Imetokea wp iyo ajali?
2026-09-09 15:50:01
2
yussufabeid4 :
Mm naonh viongozi wapunguze mbio hmu wake na Amani ss wnachi tushrizikaa msiwe na wasss mna kitu kidg kma hvyo mthni
2026-09-09 20:47:30
1
To see more videos from user @rashidabdallh8, please go to the Tikwm
homepage.