@sussan_mkamba: #ufugajiwakisasanathehostdoctor #FugaKisasa #PoultryBusiness #BroilerFarming #TheHostDoctor

The Host Doctor
The Host Doctor
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 14:05:08 GMT
17146
632
57
79

Music

Download

Comments

nathanmngaziah
nathan Mngaziah :
nitapataje
2026-09-12 09:54:32
0
bimbilika
bimbilika lounge :
Lita 60 inatoka kwa kutumia AI content creater.
2026-09-11 22:27:42
5
user539279923334
Franklin :
lita 50😅😂😂
2026-09-11 18:09:20
1
masoudalshuary
Masoud Al-shuary :
ng'ombe Akifa ntalipa nini
2026-09-11 11:00:53
3
mulofarm1
MULO FARM 🐓🦢 :
jmn mbona sijaona hilo tangazo😓
2026-09-09 14:15:33
1
user3680444980022
lovie💋.....🍎 :
ngombe akizidi sana kutoa maziwa mwisho ni lit40-45 hizo 60 ni uongo labda tuongeze na maji😁😁
2026-09-11 10:40:13
2
myegahsacky2
myegahsacky :
hakuna ng'ombe wa lita 60,50 sio kweli sana sana ni lita 30 zaidi ya hapo hakuna!!!
2026-09-11 10:37:24
1
injiniao
Laizer :
ng'ombe hajifungui anazaa😆
2026-09-12 05:55:37
0
g.willy
G.willy :
🤣🤣, Lita 60 sindio
2026-09-11 21:32:57
3
mussajaphet682
mussajaphet682 :
huu mpango wakopa ngombe lipa maziw nimatawi yote Tanzania au baadh yamikoa
2026-09-09 17:11:46
1
eng..eze
Eng. Eze :
Una mtu?
2026-09-11 12:12:15
1
victorlyimo25
mr :
maana watakuletea chakula pia
2026-09-11 11:28:36
1
user7908061043281
user7908061043281 :
hii ni Tanzania nzma au ni badhi ya mikoa
2026-09-11 13:25:26
1
pandurangajasifa
Panduranga Jasifa :
Ila hili lidoctor ni lizuri bhana 🙌🙌🙌
2026-09-11 00:15:24
1
njombeproductsorg
NjombeProducts Organization :
Asante kwa kutoa hii elimu tukihubiri ufugaji na kilimo tunaweza okoa vijana wengi sana ambao kwa namna moja au nyingine wamekuwa hawaamini katika shughuli hizi. Vijana tukipeana elimu wenyewe kwa wenyewe ina nguvu mno
2026-09-11 04:49:12
1
ibrahimhaidarjuma3
bin haidar :
unalipa vp ayo maziwa na kwa muda gani deni linamaliza ?
2026-09-10 22:47:04
1
mussajaphet682
mussajaphet682 :
mm niko singida dada nawez kupata konekish au vp
2026-09-10 08:34:25
1
mick.ezy
Mick ezy :
60????
2026-09-12 19:57:06
0
user2981950026598
SHAKASOA :
dada umenigusa
2026-09-12 13:47:49
0
francisrikanga
Rikanga shoes store :
moshi mpo
2026-09-12 13:00:10
0
user9596555277456
user9596555277456 :
nipatie cm yako
2026-09-12 02:00:50
0
5madamcash
Sally :
Ni ng'ombe ki halisi au ni hela? Nashindwa kuelewa 😏
2026-09-11 12:42:37
1
marijanmohammed75
Marijan Mohammed :
kwani unavuta chuchu au unaminya🤣🤣🤣
2026-09-12 21:51:09
0
To see more videos from user @sussan_mkamba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About