@rahma_daudofficial: #Rahmafacebeat #foryou #fyp #tanzaniantiktok🇹🇿 #bittertruthofoursociety

𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 14:38:28 GMT
12310
1486
43
25

Music

Download

Comments

zahran_abdul_samad8582
Z'A'S :
True story barikiwa sna,,,👏
2026-09-09 17:02:57
0
officiall_florence
Kauthary stoo :
nachojua nikukupenda tu 🥰
2026-09-09 14:52:06
17
shamsa.lovy
Shamsa Lovy :
mm nilisha wambia nyumbn takua tajir wakwanz kweny familia yang
2026-09-09 15:28:05
15
thriftstroremtambo
Thrift O'clock :
I always like b4 i listen😁
2026-09-09 14:59:38
7
faridamwandenene
faridamwandenene :
mimi hiyo niliikataa dada zangu hawako kwa ndoa mi niko mwaka wa 13 sasa
2026-09-09 15:18:05
8
swaumu.msangi7
Swaumu Msangi :
Yani ndo maana nakupendaga Dada kama 🥰
2026-09-09 15:44:31
2
user4191562394681
user4191562394681 :
umeongea point dada asante
2026-09-09 15:03:56
5
reneelove499
Reneelove :
Dada Rahma☝️Hii mambo ya manifest.. Nachoka mm Kuna kitu mbk najuta n kwnn nliongeaga😞
2026-09-09 16:29:04
2
lizybby65
boss mnzava💫🥰 :
ewaaaa mambo nilikua nataka kusikia
2026-09-09 16:38:59
4
t_yner23
tyner_23 :
Love you sis❤️
2026-09-09 16:49:44
0
sen.savvy.the.rock
Sen savvy THE ROCK. :
dah upo . makini.
2026-09-09 18:15:03
0
shadiairakoze5
shukrani signature ♍ :
thank you
2026-09-09 14:54:13
2
its_aurelia6
its_Aurelia :
2026-09-09 14:52:58
2
jescka.kibona
Jescka kibona :
nakupend we dada
2026-09-09 15:33:20
1
kyara1978
rose kyara official :
Barikiwa Yani nilikua kwenye chipa,Asante
2026-09-09 15:32:56
1
ummuhchrlz
umchrlz :
kabisa 🥰
2026-09-09 14:49:48
3
usurawillson
usurawillson :
Nakukubali cn madaam Ry
2026-09-09 17:22:35
0
guloh001
UTUKUFU 🙏🥰 :
Ubarikiwe da rahma
2026-09-09 15:23:32
0
mrembobay
Tatiana :
Huu niukweli mtupu Nakumbuka kipindi nipo lasaba nilikua naona mabinti wana maziwa makibwa nikawa naumia nkamwambia Mungu naomba kifua changu kiwenilivo mpaka nikapo olewa sikuishia hapo nikajinenea nikifisha miaka 23 niwe kwenye Nyumba yangu na ndoa akya Mungu ndani ya miaka 22 ilikua dabo nyumba na ndoa ninawatoto wa nne ila kila mtu huwa anakataa nikimwambia maana kifua maziwa ni madogo plas umri wangu so Maneno yanaumba kweli nabado nilimwambia Mungu usinipe utajiri wakumtesa nao mtu ila nibariki nisikose Rizk ya kuweza kutimiza maitaji ya watoto wangu na familia yangu True sijawah pungukiwa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-09 17:43:10
0
doric5750
Doric ♐ :
🥰🥰
2026-09-09 18:03:55
0
neemahagi
Ney@ :
mwenye upeo wa kiroho ataelewa dada mungu akuweke miaka mingi
2026-09-09 16:33:40
1
user2568196350191
mom chimamy :
dada angu nikupendae😘
2026-09-09 17:31:17
0
cute.mona6
Cute Mona🥰 :
Its all wt ur mind
2026-09-09 15:01:31
2
adventinaleonard5
Sp🥰 :
kwer kabisa dada kwetu upande wa baba yaani kuishi kwenye ndoa mwaka lazima haachike na wengi uzaa na kuacha watoto nyumbn kwa bibi na kutoolewa na kidum hyo ni mpaka wajukuu awakai ndoani.😂
2026-09-09 16:35:13
1
To see more videos from user @rahma_daudofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About