bwana asifiwe pastor mm niliota ,nmepewa pesa kazini kwangu elefu Moja Mia mbili, mpya nkawapa work ment 500 Na mwengine 200,hii 200 akanguka nkaiokota,nisikuelewa vizuri bt nlikuwa Na furaha,pesa ya kenya
2026-09-10 14:20:48
1
Shamim Mohammed :
na kuota na sahani (plate) maanake please
2026-09-10 09:33:14
2
judith :
Mimi niliota naokota pesa za not Nyingi sana Lakin sikujua zilikoenda
2026-09-10 14:36:14
1
Nasy lady :
ameeeeeeeeeeeena
2026-09-09 16:44:05
0
Alfa na Omega 😋 :
mm nimeota naendesha gari nikasimama nikashuka nikaanza kuokota mia 5 nyingi sana
2026-09-10 13:53:58
1
lightness :
Amina
2026-09-09 16:07:43
1
Jenifer Wilomo :
msaada tafazari
2026-09-10 14:33:15
1
Caroline :
amen 🙏🙏🙏
2026-09-10 12:39:17
0
beatarobert :
nabii wa ndoto
2026-09-10 09:53:08
1
k@terina :
mi naonaga naza Kenya na sudaness
2026-09-10 08:58:17
1
user8470213867583 :
Namba zako mtumishi
2026-09-10 09:10:45
1
salmaathman49 :
Amina
2026-09-10 08:59:36
1
Kàçhu Msêlà Màsàwē :
amen 🙏🙏🙏
2026-09-10 09:57:19
1
maryaciko :
amen
2026-09-10 08:29:36
1
Paschazia Abel :
mimi niliota naokota cheki ya CRDB ilikuwa na milioni 92 ilikuwa imeandikwa kiasi ila haikuwa na namba ya akaunti, na mimi sina akaunti crdb
2026-09-10 13:55:37
2
Elizabeth bashiri :
dora
2026-09-10 11:01:41
1
Hekima :
mi naotaga naokota tena nafukua mchanga naokota zingine hua ni 200 na100 na 50 afu napata nyingii nkichimbua ila tunagawanaga mtu 😳
2026-09-09 20:22:41
3
Alisia :
Baba naota Sana nikiwa naokota pesa nyingi tena za not kubwa zikiwa zimechanganya na za nchi ya Nje naomba unisaidie ndiyo inanisumbua sana
2026-09-09 19:46:36
4
Mamy07mrema :
Mimi niliota napewa pesa ila nimiatano Ile yakaratasi naelfu Ile yazaman maana yake nin
2026-09-10 08:27:22
0
To see more videos from user @nabiiwandoto, please go to the Tikwm
homepage.