hata sasa kama unamfanyakazi wa ndani bado kazi anayo
2026-09-11 06:35:04
1
Julius Melkiory :
pisi kali la Yesu. tumishi la ufalme wa MUNGU,. HONGERA MTU wa MUNGU
2026-09-11 07:23:09
1
David Natai :
kumbe mwanachama kabisaa
2026-09-11 05:48:47
1
Lusi Msaki :
mungu watu kama hao ndiyo mungu anawataka
2026-09-11 04:25:35
2
mr :
sikweli
2026-09-11 06:10:19
0
MwanaJemima🦅🦅 :
Lilian mtei Huyo mama Mungu amtunze jmn nampenda
2026-09-10 14:49:00
4
Solomon Keke :
Amina mama
2026-09-10 19:14:12
2
Rachel Steven cake :
amina mama tunamshukuru Mungu anaye weza yote
2026-09-11 09:15:26
0
sarah :
Amen 🙏🙏🙏🙏
2026-09-11 07:34:35
0
faithmoses670 :
anaitwa nani
2026-09-10 17:05:50
0
Dorcas :
nakupenda mama. Mungu aendelee kukulinda. niombee na mimi niweze kumtumikia Mungu kwa jinsi apendavyo
2026-09-10 06:00:31
3
Tunu :
YESU akutunze sana
2026-09-10 18:58:30
1
Furaha Ezekia :
ulinibarik sana mama ulivyokuja sumbawanga
2026-09-11 00:14:36
1
Julius Melkiory :
🔥🔥 fire
2026-09-11 07:22:18
0
NEEMA YA MUNGU :
Mwacheni Mungu aitwe Mungu; Ukisikia kila Goti litapigwa na kila Ulimi utakiri Jina la Yesu ndio hivyo… nimefurahi saana kuumpata pacha na sasa Ninamtumikia maana na MIMI MUNGU AMENITAFUTA AMENIPATA NA SASA NINAMTUMIKIA KWA FURAHA NA AMANI 🙏🙏🙏🥰🥰🥰
2026-09-10 18:10:28
4
faraja store :
amen 🙏
2026-09-10 09:31:11
1
lady Annah.ug.kasase :
next
2026-09-11 06:39:07
0
b ray :
Amen
2026-09-11 04:53:36
0
Aginesi mussa :
Mungu huwatoa watu mbali sana.
2026-09-11 08:01:48
0
TULLY COTTON CLASSIC :
Tunafanana ubabe sipendagi ujinga aisee
2026-09-11 10:23:51
0
pendaa :
amina
2026-09-10 10:08:05
0
To see more videos from user @ny.tv85, please go to the Tikwm
homepage.