1.wanakufanya ujisikie bora zaidi
2.wanasikiliza kuliko wanavyoongea
3.wanatumia jina lako kwenye mazungumzo
4.Wanatoa sifa za kweli
5.hawajaribu kushindana na wewe
6.wanatafuta kitu mnachofanana
2026-09-09 17:16:02
16
Neylee ❤️ :
naweza kupata ichi kitabu kwa lugha ya kiswahili
2026-09-09 20:50:01
5
Fikra Chanya :
Elewa code 🙌
2026-09-09 15:28:34
7
Apollo 77 :
umemalizaga sana we dada... 😇🔥
2026-09-10 19:29:04
3
Collins :
Thanks for your advice God bless you[Pray][Power]
2026-09-09 19:32:32
1
MAMA MZUNGU :
Unatufundisha uchawa au sio 😁
2026-09-12 12:37:04
1
SAVAGÉ :
🔥🔥tabia zote izi zina nguvu ni ww sasa utachaguwa uondoke na tabia ipi then iboreshe na ujiboreshe pia ktk kuitendea kazi tabia iyo✅
2026-09-10 09:32:19
2
AFYA YA UZAZI :
ila kiukweli ww ni zaidi ya hazina tena ya taifa kabsaaa uko safi sanaaa
2026-09-11 16:41:35
2
buklyric :
interested
2026-09-15 16:19:35
0
Jaledy :
Oh vizuri sana nakukubali
2026-09-17 12:32:03
0
Nkori :
mi nikiingia tu watu wote kwangu lakini nikaa kidogo nachukiwa