@islamicswahilinet: KWA SIKU MWAMBIE MKEO "NAKUPENDA" KWA UCHACHE KABISA HATA MARA TANO (5) Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 15:35:24 GMT
12025
739
6
210

Music

Download

Comments

zahrakatiko
ZAHRA KATIKO :
Rabbi inni limaa anzalta ilayya min khayrin faqiir
2026-09-09 15:59:33
3
mrs.naudumiwa0
labia❣️💍🍟 :
❤️❤️mashaallah ❤️
2026-09-09 19:58:48
0
aminadaudi776
Amina daudi :
mashaallah 🥰🥰🥰
2026-09-09 16:26:24
0
user2774695966841
user2774695966841 :
sahihh
2026-09-09 18:09:49
0
tina.kahati
Tina Kahati :
🥰🥰🥰
2026-09-09 19:05:43
0
divine_lee14
divine_lee36 :
😍
2026-09-09 19:53:34
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About