Mimi mara ya kwanza kufika dodoma kuanza maisha nilivua viatu kukanyaga udongo nikaongea na ardhi upepo jua na maji ya dodoma na ulimwengu ulirespond.❤️Life is spiritual 🍀
2026-09-09 16:48:31
18
hellen :
sauti yako inamamlaka
2026-09-09 18:00:04
2
Bei_Kitonga_Collection :
Waaleykum salam
2026-09-09 16:46:36
2
Mariyam🦋 :
Kidawa kumbe nakiarabu kinapanda Mashaallah 🥰
2026-09-09 18:25:25
1
dalali_surubo_dodoma :
mila zetu za kiafrika ni nzur sana 🙌🏽
2026-09-09 16:39:59
5
wanzitaee :
98.5
2026-09-09 16:50:30
2
Pacha2 :
MashaaAllah Bro.
2026-09-09 17:45:38
3
decentMommy :
ni kweli
2026-09-09 20:01:22
0
ZuuBrown :
Nikweli
2026-09-09 18:45:16
0
🦋🥰 :
Napenda sana kukufatilia Mungu akutunze 🙏
2026-09-09 16:49:19
2
lovelife the god :
mh mimi nilikuwa kila napo hama mji nilikuwa napata shida tumbo linauma nikaambiwa na mzee wangu moja mkoa wowote ule unapo fika pale pale stendi lamba udongo waeneo hilo na kweli ilinisaidia
2026-09-09 19:04:29
0
Myriq ❣️🔐 :
2026-09-09 17:51:48
0
Bugatti 369 :
Popote Huwa nafanya Hivyoooo
ndyoo maana Hata kama Umeamiaa Nyumbaa au mtaa mwenginee Unachukuaa udongoo Unamrambisha Mtoto na Kumuogesha
2026-09-09 18:00:19
4
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm
homepage.