hizi zote nitabia za mdogo wangu kabisa Mungu anisaidie kwakwel
2026-09-09 20:01:27
176
Queen-jay👸🏻❤️💞😜 :
Mi kesho tu nampa nauli😅
2026-09-09 16:19:04
404
Linda🦋@🦋 :
😂😂😂😂😂Na mshukuru mama angu kwa kuwa mchoyo wa kunipa ndugu wa kike
2026-09-09 18:23:33
326
Ruu mapande :
Nashukuru sana mama angu kanizaa wa kike peke angu 🥰
2026-09-09 17:53:48
128
P@z£l!! ☠️💫 :
Nimependa hii [Embarrassed]👏
2026-09-14 06:58:14
0
Reneyofficial :
Amekua mpenzi mtazamaji😂😂😂😂😂
2026-09-09 17:16:10
145
IMANI BOOKING SAFARI :
mm Kam mdog mtu siondok wallah ach tupigane [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-14 11:28:17
0
martha@julieth :
why martha jmn
2026-09-12 03:58:41
1
Mode Deo :
huyo sio mdogo wako na huyo sio mumeo
2026-09-09 20:12:22
50
jessi❤️ :
🤟🤟🤟🤟🤟🤟 congratulations
2026-09-14 10:06:53
0
miss p🧚♀️ :
kuna mda hayo mambo tunajitafutia wenyewe jukumu la mume ni lako na sio la mdogo wako wala dada wa kazi inabidi ujue kama huwa anaenda kazin nawe unajua kama kesho unahalaka bc andaa mavazi yake usiku amka mapema pika chai mwamby mume wangu mie naondoka ila kila kitu kipo tayali leo sitokusaidia kujiandaa nina halaka mpe kakiss unaondoka na kama unaona unakuwa na ubize sna ebu jalibu kumzoesha mume wako kujiandalia mwenyewe na sio kumpa jukumu ndugu au dada wa kazi mwisho atazoea na hataa wakafika mbali zaidi yani hata kama dada atapika ila hakikisha we ndo unamwandalia chakula mume wako
2026-09-10 05:06:08
43
user123 :
yn ningekuwa mm ningemuachia huyo nwanaume nikatafut mwengin nikamrusha roho
2026-09-09 17:35:17
45
doreen benedicto :
dada mkubwa ulichukua maamuzi mazuri sana maana awa ndugu zetu wa kike
2026-09-10 09:56:28
27
user940316287103565791 :
mi mamaangu ni marufuku kwenda kukaa kwa dada zetu waliolewa tukienda labda tukae wiki tu na kurudi nyumbani
2026-09-10 04:52:24
49
pretty Ver@💋💋 :
Me mpenzi mtazamaji🤣🤣🤣
2026-09-10 04:50:20
10
anthony :
hiii maaajaabu[Heartwarming]
2026-09-09 18:23:13
6
De Millan official.. :
nitakuunguza na chai ba mpenzi usithubutu 😂😂😂
2026-09-10 06:36:16
19
verediana :
mm hatanauli simpi atapewa na mwenyeki wa kijiji
2026-09-10 03:59:12
15
Mmline :
Alafu usitupime imani siwezi kusubiri mwendelezo.....😂😂😂
2026-09-09 18:51:24
25
lolamonie :
Wadogo zangu hawataamini kwangu watuja kipindi ambacho Mme wangu hayupo
2026-09-11 05:25:34
7
~selflove🫰 :
Nmeona nkufollow kbs😄😅😅😅 next pls
2026-09-09 17:06:26
11
prettycute :
😅😅muwe mnatutoleaa htaa episode mbili mbilii bhnaa hatuwez kusubirii
2026-09-09 20:11:13
11
user72777232913581 :
Mama alijua tu nd maan akanizaa peke yangu 😂😂😂😂
2026-09-10 08:46:21
9
7-8 :
Martha Martha Martha. nimeita mara 3 nahitaji kama wewe kwangu
2026-09-09 16:35:41
9
To see more videos from user @neyla_manga, please go to the Tikwm
homepage.