ivi tukiamua madereva wote Tanzania tugome itakuaje
2026-09-09 18:05:37
46
@nai🌹❤ :
Kila wakiamka wanahangaika na watu wanaotafuta ridhik zao kihalali
2026-09-09 15:54:17
59
KAPEZIWA_OFFICIAL :
kukatwa siyo tija ukifanya kosa je ukifanya vizuri unaongezwa point
2026-09-09 17:37:43
59
Ramadhan Maganga :
R.I.P JOHN POMBE MAGUFULI🙏
2026-09-09 17:16:22
22
Mr_G_Reminder :
zangu zimebaki 9 nimeweka leseni chini ya mto
2026-09-09 16:48:31
17
raphywillmakeit :
Unatetea hoja kwa namna isiyo sahihi.
2026-09-09 18:13:00
8
SELEMAN MAULIDI :
Hii point 🙏🏾
2026-09-09 17:59:26
1
willyfelix236 :
fact kabsa
2026-09-09 17:20:58
1
Isacka Mahenge :
good point
2026-09-09 17:32:30
1
Davis_94🦅 :
Tz Haina uhaba wa madereva ila nimegundua madereva wengi wameondoka Tz kwenda kufanya kazi nje huko tz kumekuwa na Sheria kandamizi sana upande wa dereva hapo tyr dereva anaenda kuongeza mapato kwenye nchi hzo nasio Tz
2026-09-09 17:30:51
12
Godfrey Godfrey kashaija :
so sad brother
2026-09-09 18:44:51
1
dcare :
na kwanini ufanye kosa
2026-09-10 06:20:41
0
Mr.Fravee 🇹🇿 :
well said bro
2026-09-09 17:32:46
1
cholo🚛🦺 :
2026-09-09 18:23:44
7
Chandeovara :
umengea point ila tatizo nchi ipo eda
2026-09-10 10:43:27
0
MR MBANGA :
tutafute mitaji tuache udereva
2026-09-09 17:43:51
5
African ßøy🌴 :
Magari mabovu,Barabara mbovu🇹🇿
2026-09-09 19:04:59
2
filbertkanuma :
madereva watanzania uoga umetuzidi tukiwaachia magari yao cku mbili zinatosha kueleweshana lkn tumekaa kimya.
2026-09-09 20:10:40
1
Jay Martine :
Fact
2026-09-09 19:07:41
1
REGANI NDOSS :
Wemeshndwa kusimamia sheria wenyewe 🙏🙏
2026-09-09 19:26:18
3
user5054247859671 :
kamera ntaziiba zzottee 😄😄😄
2026-09-09 18:41:44
1
Juma Charles :
hawawataki madereva
2026-09-09 18:46:55
2
kamlete :
serikali kandamizi yani watu wa hali ya chini ndio wanatulalia
2026-09-09 19:04:43
4
Faraji Hassan :
wataendesha wenyewe maana tumefika top
2026-09-09 18:06:43
2
To see more videos from user @lastselli3, please go to the Tikwm
homepage.