@jvckieseven: Tazama video hizi zilizorekodiwa mwaka 2002 wakati kundi la daz nunda wakirekodi wimbo wa barua ndani ya FM studio kwa producer mika mwamba, video hizi zilirekodiwa na dj maarufu wa club billcanas enzi hizo wa kuitwa dj ibra 🔥🔥
JvckieSeven
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 15:58:01 GMT
Music
Download
Comments
KHALID MAHADHI :
Kundi bora na wasanii wa muda wote.
2026-09-10 09:44:48
18
🫡🤲 :
Nilikuwa nashangaa hv kwnn hizi nyimbo zilikuwa mzuri sn kumbe walikuwa wanavulia shati bhana 😄
2026-09-11 12:56:13
14
musa sinapalule :
Niko la kwanza ujewa mission primary mbarali mbeya
2026-09-10 20:12:09
4
Halima Ally :
dalasa la nne shule ya msingi Mugabe duh nakumbuka mbali
2026-09-10 10:01:36
3
Maplan tizedy! :
nachopenda utofauti wa zaman na sasa,zaman walikua hatari wanaimba bila daftari la kuangalizia mistari,hapo ni kavu kavu mwende wa kulala line2!
2026-09-14 22:50:37
4
Karim designer :
daa form 3 iyoo
2026-09-09 18:19:41
1
allielababa :
Darasa la pili apo tunaamishwa kutoka ukombozi tunaenda manzese primary ⚡👏🏻🙏🏻
2026-09-12 02:10:28
2
Chriss - Tinnah :
La nne Mapambano PR
2026-09-10 07:27:22
3
Director Don Franco :
😅😅😅 Daha hapo najitafuta kumaliza darasa la saba Mwenge primary
2026-09-09 16:52:06
2
mjuba mjubenga :
niko standard 4 mwenge primary
2026-09-10 11:39:04
1
Eddy Charming74 :
Apo nipo darasa la 4 skuli ya Milambo tabora
2026-09-10 05:59:51
2
Ruud Van nestrooy-1682 :
Apo ndio naingia Form 1😢
2026-09-10 11:27:45
0
Max j.MSITU WA VIBE :
halafu kila wakati mkizungumza kuhusu maproducer kila mtu ni majani tu,me naona mika ndiyo best
2026-11-08 19:58:44
1
Stin millz :
Kuna vinanda vina sound kwa hisia kali mno 😊
2026-09-10 12:22:12
1
ayubuacson :
mimi niko darasa lapili shule ya mtakuja primar school
2026-09-10 13:16:27
2
Leon komba :
miaka 3 apo cielewi ata nn
2026-09-09 22:12:53
1
killy Temu 🙏 :
apo nikiwa na nusu mwaka😂😂😂
2026-09-10 11:10:38
1
fredrickmrema932 :
Legend
2026-09-10 07:53:22
1
user2157983439254 :
Kweri miaka ina kimbia sana leo hii mie wa90 tayari leo hii naitwa babu
2026-09-09 21:25:07
1
T E N G A :
ni aibu apo nilikuwa na miaka 2 duh😁😁
2026-09-21 10:06:16
1
mwakyusa007 :
Hapo nipo darasa La pili shule ya msingi mwanamakuka bagamoyo
2026-09-13 11:24:08
1
Idarous :
Wimbo bora wa muda wote hivyo tu
2026-09-12 19:03:52
1
ابو عاطف :
Respect za kutosha kwa mikka mwamba producer pekee aliemuumiza kichwa majanj
2026-11-07 20:22:15
0
Juma Bohar :
so much respect kwa wote waliohusika hapo studio👍
2026-11-08 16:59:52
0
Hussein_👑 :
Ferooz mkali sana kwenye chorus
2026-09-10 22:13:57
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.