Nina baba lakini sijawahi pata upendo wa baba ni kama vile Sina baba inaniuma mno 😭
2026-09-10 14:34:02
26
hamadikhamis239 :
mm baba angu alininyanyasa nakunitena sioni Samani yababa yuko bize na familiar yake nyengine
2026-09-10 14:52:21
10
G :
Mungu ampe maisha marefu baba angu🥰🥰
2026-09-09 19:28:57
59
Issa Khan food 🍱 :
🥺🥺 Allah ampe baba Ang maisha marefu
2026-09-11 07:25:21
33
hawayna :
mungu muondolee adhabu ya kabuki baba yangu😂😂
2026-09-10 20:48:48
22
🥀nully🥀 :
BABA BABA BABA NJOO HATAKAMA NINDOTONII MWANAO NAPITIA MINGI BILA WEWE HAPA DUNIANI😭😭😭😭😭😭
2026-09-13 00:35:46
4
Bala Hatun 17 🇹🇷 :
Allah awatilie Nur Baba wote walotangulia mbele za haki🤲Awajalie Jamatul Firdaus na walio Hali Namuomba Allah awajalie umri mrefu wenye Barka Ameen Yarabii 🤲
2026-09-10 08:17:29
8
precious M :
natamani sana kuita baba na kuona tabasamu lako, lakini tabasamu lako limepotea nikiwa na miaka 4 kaka yangu miaka 6,pumzika kwa amani baba yangu
2026-09-11 13:34:59
1
hawa :
Ya allah naomba msamehe baba ang na adhabu za kabrini na umuweke mahali pema peponi
2026-09-10 05:13:42
11
cool gal :
rip my lovely dad l really miss u
2026-09-10 09:57:26
1
جونسون :
😣 i have never seen my father since i was born 😫 💔
2026-09-11 06:23:23
1
💫Official🌸 Minha💦🦋 :
miaka tisa sasa bila baba Allah amrehemu na amuepeshe na adhabu za kabri InshaAllah 😪🤲🥺🥺
2026-09-10 19:37:13
6
rehema nkingwa :
na kuku mbuka sana baba angu Allah akurehem akuondolee azabu ya kabr
2026-09-10 09:17:40
6
Apichamu said 💫❤️ :
swadakat Allah amsamehe mazambi yake yote baba angu 😭
2026-09-10 02:51:40
6
princess 4really :
kwakweli sijui niseme nin lkn alhamdulilah
2026-09-10 19:20:18
1
. :
Mmmmmh ule uchungu napitia juu yake kisa uyo baba sina at raha nae wallah
2026-09-21 07:18:56
0
Wama Abraham :
rest in peace my dady[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-14 06:54:06
1
geraldmbinga :
Pumzika kwa Amani baba Yangu😭🙏
2026-09-10 13:53:48
3
winnie❤️💕 :
😭😭 I miss you daddy 💔😭😭
2026-09-10 23:36:32
3
Caisedo :
Amin
2026-09-11 05:07:32
3
Tausi Ramadhani :
Ambavyo yupo hai na hajali uwepo wangu 😅😅😅😅 Alhamdulillah Mungu ananipa nguvu na anaiinulia watu wema kwangu 🙏
2026-09-11 04:36:16
3
To see more videos from user @youzle_maker, please go to the Tikwm
homepage.