@laughs_on_leonardo: Hii nimeshinda mimi😂😂😂🙌🙌 @_lu.ivan #afterwork episode 4 🎥: @sixndale @boaz.niva Edits: @jaykiporo

Leonard Butindi
Leonard Butindi
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 16:46:47 GMT
455510
44639
1214
1162

Music

Download

Comments

huriathyusuph
Huriath Yusuph :
Nyie mnauhakika leonard huyo ndio huyu au huyu ndio huyo 😳😳😁
2026-09-09 17:54:56
461
prayosilver
prayo silver👑 :
mapenzi yanatak mavitu kama haya Sasa😂😂😂
2026-09-09 16:59:00
356
hancyvivan667
hancy tz :
hakuna mtu mwembamba ndo nimeamini baada yakutazama hii content..
2026-09-10 14:08:32
27
rachel.benitho5
Rachel Benitho :
mayatimaa wa mapenz tunaishia kukenuaa tuuu😂😂😂
2026-09-09 17:13:56
203
hamoodaly5
꧁..✨️ ℍ𝕒𝕞𝕠𝕠𝕕𝕒𝕝𝕪 ✨️..꧂ :
kama una miaka 20 hadi 38 na huna nyumba, kiwanja, gari wala benk huna hata pesa basi usijali tupo wengi sana ndugu yangu 😓😓😓
2026-09-09 16:51:47
171
amrizo7
Amrizo :
Laughter and love at the same time 😂😂😂❤️❤️❤️👏
2026-11-26 22:32:42
0
mzigua_hb
M.Z.I.G.U.A ⚡ :
We jamaa unajua sana kutikisa bandana yangu Excited with what you entertain keep It LEO
2026-11-27 11:26:38
0
ashura.sadiki69
Ashura Og🫦👄 :
Nataman mme wangu angekuwa ivi Ila u seriously wa kazin anauleta ad home😭😭🤣🤣🤣🤚🏻
2026-09-24 06:20:52
30
mrema200
[] :
kiredio anahisi ni AI[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-09 17:08:45
36
meleiyka
Me_Leiyka :
Mwambao wa pwani😂😂😂😂
2026-09-09 17:41:45
34
t.m.ark
Tmark :
😂😂😂mtaachana
2026-09-09 17:50:55
18
xei_mo
seif _mo :
leonard nakuona kabisa ungekua sio mchekeshaji unngekua mwalim wa kiswahili 😂😂🤣 respect fam😁
2026-09-09 17:08:22
43
maryam67739
Maryam :
Leonard anakitambi mashallah😅🥰 Lu kazi umeifanya haswaa
2026-09-09 17:25:58
21
dryno69
𝕾𝖆𝖎𝖓𝖙 𝕾𝖆𝖒𝖎🍂 :
Ficheni kiredio asione😂😂
2026-09-09 17:23:52
24
recho8336
recho :
mbona kama unamchamba mkeo😂
2026-09-09 17:34:10
9
....childofjesus
Joyma❤️ :
leonado kanenepa bado Kiredio tyu🤭😁
2026-10-14 07:04:27
11
zillyhinna4
zilly henna :
Hakuna mtu mwembamba dunia 🤣
2026-09-09 17:23:36
8
massawe237
frank237 :
umetisha broo😎
2026-09-10 18:57:52
1
mary.mangula
Moema prettie :
nawaombe msiachane nawapenda bure ila lio 😂😂😂🙌🏾
2026-09-09 17:21:37
9
benny_vicco
@Benny_vicco. :
umetisha kaka leo kama mess vilee
2026-09-09 16:49:30
9
meckie_comedian
meckie comedian :
NACHEKA KAMA MPUMBAVU kweny mapenzi ya WATU😂😅
2026-09-09 17:27:00
12
waridcollections
waridcollections :
Kila mtu atanenepa jamani ni swala la muda tuu 🤣🤣🤣🤣
2026-09-09 17:23:48
10
neymar.tanzania
Neymar Tanzania🇹🇿 :
kila penzi litaonja umauti tu mm mnanikwanza 😂😭😭
2026-10-10 07:03:45
9
lamson1291
Lamson :
saruti
2026-09-10 10:30:39
1
zakaponist
ToTo la pastor :
ngoja na mimi nitafute mdada nifanyaje nae kama hao 🫠🫠🫠🫠
2026-09-09 17:35:03
4
To see more videos from user @laughs_on_leonardo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About